Recent content by mpombo

  1. M

    Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

    VUTA-NKUVUTE Kwa haya yanayotokea sasa nimeanza kumuelewa Fatuma Karume, kwenye kipindi cha Madamotto channel 10 aliulizwa kwanini msiende mahakamani kutaka tafsiri ya kufutwa kwa matoeo ya Zanzibar alisema kwenda mahakama ni Imani hivyo hatuna imani sana na wale watakao amua kesi hii kwani...
  2. M

    Angalizo kwa Mbowe, Mnyika, Kubenea, Mdee, Tundu Lissu

    hata mimi nimeshanga sana inakuwaje Jaji Lubuva anaomba ruhusa kwa Rais kuongea na wageni Wakati kile kikao ni Chake na yeye ndiye aliyemwalika Rais. hii inaonyesha namna tume ya uchaguzi isivyo huru maana kila jambo zito anaomba mwongozo kwa Rais
  3. M

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    Mimi si mwanachama wa chama chochote na mara zote nimekuwa nikichagua mtu bila kujali anatoka ccm au upinzania ili mradi anajitambua kama kiongozi. katika lugha ambazo sizipendi na ninazichulia ni kusema "CCM HAITATOKA MADARAKANI KAMWE" na hii lugha imejaa kiburi na kujikweza kusiko na maana na...
  4. M

    Kusema Lowassa ni mpango wa Mungu, ni kumtukana Mungu

    mpendwa kwani wewe unaelewaje mpango wa mungu? Mimi kwa maoni yangu ni vyema kuendelea kuomba mungu atupekiongozi kutoka katika moyo wake kuliko kuwa washabiki, mungu kama mungu anasema njia zake si kama njia zetu wala mawazo yake si kama yetu kama mbingu zilivyo juu sana ndivyo mawazo na njia...
  5. M

    Cleopa Msuya: Potelea mbali huyu fisadi anayedaiwa kugawa pesa ili apate URAIS lazima afukuzwe

    watanzaniw mbona tumekuwa wanafiki sana huyo fisadi ni nani mbona atajwi kila mtu anasema kunafisadi anagawa pesa anagawa pesa ni nani? Kama wanaosema hivi ni wazalendo na wanaipenda nchii hii wamtaje watanzania wamjui na wajiepushe naye. tuache usanii sasa kama waziri mkuu mstafu Msuya naye...
  6. M

    Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Jumatatu 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

    naomba kujua Saidi Kubenea yupo kwenye mwaliko huu?
  7. M

    Mama Tibaijuka, Flora Mbasha &Co.-Mtashinda tu!

    Ndugu yangu nimekupata na kukuelewa vyema unalolisema inawezekana kweli au si kweli. Tatizo nililoliona kwa mama Tibaijuka anasema sana yeye akifikiri ndio kujitetea lakini ndio anazusha sana mjadala kwake. mfano Prof Mhongo, Warema na wengine usikii wakisemasema. na siku zote maneno ya kiwa...
  8. M

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni mizigo isiyobebeka

    Viti maalum si wote mizigo Kuna dada kupitia mkoa wa Morogoro aise yule ni makini sana na mwakani anagombea jimbo la Kilombero kwa Celina Kombani. Pia anacheo kwenye chama na alikuwa meneja campain wa chadema 2010
  9. M

    Akaunti ya Escrow yafichua mazito

    Ndugu yangu kama ulimsikia Mh Zito jana wakati anawasilisha mchango wake unaweza kabisa kujua nini kipo ndani ya ripoti nanukuu "Kwa mambo yaliyotokea usingetegemea kutokea katika nchi yenye utawala wenye udhibiti na ambao unafanya maamuzi kwa kila jambo kwa wakati haya mambo yaliyotokea...
  10. M

    Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    natumaini Prof mark j. mwandosya
  11. M

    Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    Kweli katiba imedharauliwa yani inasindikizwa na taarabu za mapenzi?
  12. M

    Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    leo nisipo mwona p. Makonda nitajua ndio wewe chabruma
  13. M

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Watu wako tayari kufa kwaajili ya mtu mwema lakini si kwa mwenye haki. Hiyo ndio gharama ya kusema UKWELI. Siku moja haki itathibitika
  14. M

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    kuna msemo unasema penye wengi kuna mengi, baada ya upitishaji wa rasimu hii, kuna mengi sana yatatokea mengine ya ukweli na mengine ya uongo tusubiri tu, kwa wale wanaofikiri kuna uchakachuaji utabainika tu na kama hakuna uchakachuaji itajulikana tu. Na watakao toa yote haya ni wahusika...
Back
Top Bottom