Recent content by mpole1

  1. mpole1

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Nimegundua kwanini lawyer hawajui hesabu Mtu anaiba 12bilion alafu analipa faini ya 5milion Wanalipa faini baada ya hapo wanakata ticket wanaenda Florida kula bata
  2. mpole1

    JamiiForums Tanzania Hatimae mwarobaini wa uraia pacha wapatikana

    Marudio: Maisha bora kwa kila Mtanzania
  3. mpole1

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Naomba ni PM namba yako please
  4. mpole1

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete apewe tuzo ya rais bora katika ukanda wa maziwa makuu

    Samahani FaizaFoxy wewe ni MUHA kutoka MWANDIGA?
  5. mpole1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa wanandoa!

    Ni muhimu kuliombea tendo la ndoa ili Mungu abariki tendo na iwapo kiumbe kikitengenezwa katika hilo tendo la ndoa kipate baraka na neema za Mungu
  6. mpole1

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Ili nasi tuweze kupata faida ni bora kueleza ni Yapi ya ukweli na Yapi ya uongo na utueleze kwa hatua baada ya hatua ukweli halisi sio kusema eti aliyo andika Tumaini Makene ni ujinga haikubaliki, ninakuomba utueleze ambayo sio ujinga tafadhali
  7. mpole1

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Haya majibu ni mazuri sana kwani mimi na baadhi ya watu hatukuwa tunajua migogoro iliyo wahi kutokea huko nyuma tangu CHADEMA ianzishwe Asante sana kamanda kwa elimu yako kushare nasi
  8. mpole1

    JamiiForums Tanzania Mnyika asisitiza uamuzi wa Kamati Kuu dhidi ya Zitto, awakumbusha viongozi, wanachama

    Kamanda Safari-ni-Safari post yako #18 habari zake ni nzito sana, maana nimesoma mpaka ninatetemeka, nimebaki najiuliza hivi ni kweli haya mambo ZZK aliyafanya na anaendelea kuyafanya haya
  9. mpole1

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Ufafanuzi kuhusu yaliyojiri katika Shauri la Zitto Vs Baraza la Wadhamini, CHADEMA

    Asante kwa taarifa saaaaafi iliyonyooka
  10. mpole1

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kesi ya Zitto vs CHADEMA haijaisha mahakama kuu

    Asante Kamanda Yericko Nyerere kwa ufafanuzi mzuri
  11. mpole1

    JamiiForums Tanzania Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Ni kweli ni mawazo yake Kardinali Pengo lakini yana uzito mkubwa kwa waumini wa kanisa katoliki kwahiyo kitendo cha kupinga serikali tatu kitawaeffect waumini wa kanisa katoliki by MUTUAL INDUCTION
  12. mpole1

    JamiiForums Tanzania Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Siku zote sijawahi kukupa LIKE lakini leo sina jinsi nimeyakubali mapoint yako, chukua tano.
  13. mpole1

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa anguko la wabunge wa chadema 2015

    Yaani jina lako tu utata "BWEGEBWEGE" sembuse huyo utabiri wako
  14. mpole1

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani unafikiri kinaweza kutoa rais aliye kama mfano wa kuku na vifaranga vyake?

    Mbona unanyooshea watu vidole ilhali hatuyaoni mawazo yako????
  15. mpole1

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani unafikiri kinaweza kutoa rais aliye kama mfano wa kuku na vifaranga vyake?

    Kwani wewe mawazo na maoni yako yapo wapi?????????
Back
Top Bottom