Recent content by mpogole22

  1. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

    Yes..mm ndio napenda afeli sana...adui muombee njaa..anasema tumuombee ili hali anaongoza kibabe ajiombee mwenyewe mm simuombei hata kidogo.. Na msubiria Lowassa Wangu. Huyu ndio namuombea usiku na mchana Na Mungu anaendelea kujibu maombi yetu simnamuona Lowassa afya yake now he is very strong...
  2. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

    CCM hamna mwenye vision ya kulikomboa hili Taifa...unazuia mikutano ya kisiasa nn unaogopa kama utawala wako ni wa kidemokrasia.
  3. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Kuweka picha Facebook nakutaka watu waseme Amen au ku - Like

    Du...hilo nalo nimeshajiongeza kuazia leo NAJISTOP
  4. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Account ya Dogo Jembe imeingiliwa, Je sisi wengine tutapona?

    muongo huyo ndio mchezo wake anapenda kuingiliwa sana
  5. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    hapo sawa kbs nakubaliana na wewe ..hayo mengine anayoyafanya ni danganya toto wenye akili tunajua ukweli
  6. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Chezea vyote ila sio kupokea majibu ya HIV

    du...kauongo kazur
  7. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Wenye matatizo haya sasa wanaweza kupata tiba kwa gharama nafuu sana

    namba yako ya simu tafadhari
  8. mpogole22

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    kweli watanzania wengi ni wapumbavu ni asilimia ndogo wanajielewa kwa maisha tunayoishi hakuna haja ya kuisupport ccm
  9. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    bado makonda
  10. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na kiumbe cha ajabu Hifadhi ya Mikumi

    tuwekee kapicha basi
  11. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Maneno mazito ya Lowasa!

    Lowassa ni level nyingine kbs hakuna wa kumfananisha nae
  12. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na kiumbe cha ajabu Hifadhi ya Mikumi

    mikumi ipi ile ya magomeni au !
  13. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi StarTv na RFA waanza kutafuta kazi sehemu nyingine, uadui wa Diallo kuwaponza

    Star Tv ni kama mali ya ccm yaan wamekuwa wajinga kuliko hata TBC
  14. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    kikwete hakuwahi kushiriki mdahalo wowote BBC waliandaa mdahalo lakin ccm waliogopa kumpeleka mgombewa wao JK kisa kuofia kuanguka kifafa.
  15. mpogole22

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    mbona nyie macc miaka yota ya nyuma mlikuwa hamtaki kushiriki midahalo au kisa mwaka huu mmemsimamisha huyo mpiga debe hatuja haja ya kumleta LOWASA hakuna saizi yake hapo .lowasa yupo.juu magufuli labda tukuletee Dodo janja Nasari kidogo ndio saizi yako
Back
Top Bottom