Recent content by MPITA NJIA ORIGINAL

  1. M

    RPC Sabas: OCD Muroto hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya Mbunge. Lema ruksa kufanya mkutano

    big up kamanda lema wape somo lakutosha wana wa arusha.
  2. M

    TBC iache mchezo huu mchafu

    hivi kumbe bado ipo, nina siku nyingi sana siangalii huo uchafu unaoitwa TBC
  3. M

    Mwigulu, nilikuonya ukakataa sasa maji yako shingoni unanitafuta...

    huyu jamaa anayejiita sheluhi naona kama vile hajajua dunia inapoelekea,wananchi wamechoka na matusi na sera mbovu zisizotekelezeka tangu nchi ipate huru,ccm wanahaidi tu kila uchaguzi,je lini watatekeleza hizo ahadi?naomba unijibu!sasa usitake kuwapumbaza wananchi wa iramba!jimbo la iramba ni...
  4. M

    Nafasi za kazi tra.

    hao ndo vijana wa kileo bwana,utasikia wakitaja tra,nssf,bot,tpa nk,
  5. M

    Wadau naombeni taarifa za hawa jamaa wa utumishi kwa zile posts za may 2012

    Habarini zenu wanajf,naomben kufaham mkakati wa hawa jamaa
  6. M

    msaada unyanyuaji vyuma

    Sina huakika sana,nshawahi kusikia ile kitu ukipiga then ukija kuacha utaumwa.
  7. M

    Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

    Mwanamke ndo hua anapata raha zaidi,hasaaa unapofika ule mda wa kunaniii..
Back
Top Bottom