Recent content by mpirani gonja

  1. M

    Salaam kwa TCRA na watoa huduma za simu za mkononi

    Sioni tija kwa mwananchi wa kawaida ya moja kwa moja uwepo wao na huduma yao, zaidi ni porojo mikwara mingi, simu zinaibwa kila Leo, waliifungia tu simu za watu eti viwango duni kama waliweza hilo kinashindakana nini wanaotapeli watu kila siku na jumbe kuingiza hela kwenye namba hii, majumbe...
  2. M

    Suala la kubariki ndoa katika dhehebu la waadventista Wasabato

    Uongo ni katika nini na ukweli upo kwenye kipi? Kama muelewa wa kile unachoshauri hakikisha unatoa maelezo yasiyo na maswali ili hoja yako iwe na mashiko badala ya kukurupuka bila hoja za msingi za kile unachoamini wewe, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Ambao hatutaki ajira Serikalini tujumuike, tutete

    Sioni hata kitu gani umeandika kama graduate!! Na hapa kinachoonekana in maelezo ya kipato chako kuliko uliyopitia ambacho nacho hakieleweki, Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Hii TV hata mwaka unaisha sijaangalia chochote maana nadhani ni TV ya chama na hata kama Mimi ni mwanachama wa chama husika haina maana kuwa hitaji langu kubwa ni kuona mambo ya ki chamachama! Kaeni kama kamati fanyieni kazi mawazo ya watizamaji vinginevyo mtakua wa kuwafurahisha vingozi...
  5. M

    Wanafunzi wagoma wakidai kudhalilishwa kingono na walimu, polisi wawatawanya kwa mabomu

    Kama sheria ya mtaani inakataza sketi fupi ndio mkafanye hivyo! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Mwongozo kwa Balozi yeyote atakayeitwa kwenye mjadala na Tundu Lissu

    Kwa hoja zako hizi za kipumbavu hata uwenyekiti wa kitongoji hupewi kama ndio iliokua unataka, maswali ya chekeche unauliza graduate lazima uonekane hamnazo kichwani mwako, na hakuna kimaro mwenye akili ya kunyunyizia kama yako! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Ushahidi kama unao umekaa nao miaka karibu 2 wa kazi gani kama sio unafiki na uzandiki! Kuna maswali ambayo chizi akijiuliza anapata majibu hasi, porojo nyiiingi ambazo hazina mwelekeo wowote, siku zote amekua wapi hadi Leo ndio aseme anaushahidi na ukitaka kujua ni wa kubumba mpaka Leo mbona...
  8. M

    Satellite crusade: Nyumbani hatimaye

    Kama umesoma biblia na qurani naamini pia umeona tofauti za huyo Yesu na Nabii Issa, nianze tu na walipozaliwa, Yesu alizaliwa horini mwa ng'ombe na nabii Issa kazaliwa Jangwani, yawezekana MTU mmoja kuzaliwa sehemu mbili tofauti? Ntakayoweza kujibu ntakujibu lakini pia ujue kuna wajuzi wengi...
  9. M

    Satellite crusade: Nyumbani hatimaye

    Kwenye biblia Yesu alikufa na kufufuka, na wakristo wooote, na pia alikufa kuibeba dhambi ya ulimwengu! Je kwenye Quroani wanamtambua hivyo??? Kama hatambuliki kwa staili ya wakristo maana yake ni watu wawili tofauti, maana kama nnayemjua Mimi naamini alikufa na kufufuka na wa kwako ni tofauti...
  10. M

    Satellite crusade: Nyumbani hatimaye

    Nabii Issa sio Yesu ukilinganisha maandiko ya quroani na sifa za Yesu kwenye biblia kwa biblia ni Masihi, mpakwa mafuta, mwana wa Mungu aliye hai, mkombozi wa ulimwengu, mtakatifu, Mungu mwana, mwana kondoo wa Mungu aichukue dhambi ya ulimwengu, Yehova, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Hongereni Wasabato kwa Kutoa Huduma ya Mazishi Bila Ubaguzi wa Dini/Madhehebu

    Inawezekana hata yeye hakijui kile anachokiamini, na hii ni shida kubwa sana, maana kama hukijui vizuri kile unachokiamini unageuka kuwa mpotoshaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Hongereni Wasabato kwa Kutoa Huduma ya Mazishi Bila Ubaguzi wa Dini/Madhehebu

    Hizo nyingine ni chuki binafsi ambazo mapungufu / udhaifu wa mtu unachanganywa na dhehebu lake! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Hongereni Wasabato kwa Kutoa Huduma ya Mazishi Bila Ubaguzi wa Dini/Madhehebu

    Huo ni udhaifu binafsi na halijui neno ndio mana binafsi Mimi msabato lakini naweza kusali popote linapotajwa jina LA Yesu mapungufu nayatafakari yaliyo mema yananijenga! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Hongereni Wasabato kwa Kutoa Huduma ya Mazishi Bila Ubaguzi wa Dini/Madhehebu

    Uzushi nao kipaji! Kama kashazikwa wakikataa kwenda kusali sabato wataenda kumfukua!? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Wamama wajawazito kujifungua kwa gharama ya TZS.150,000/ Hospitali za Serikali. Je, Serikali hii inatupeleka Wapi?

    Umetoa mahari ukaoa, mkafanya mambo yenu mimba ikatungwa toka mimba inaingia inakua kwa miezi tisa, mimba sio ajali kama ni MTU makini huna sababu ya kulalamika na vilaki 3, wapo watu wanaougua magonjwa kama presha, cansa na mengine mengi acha hao ndio wapewe huduma za bure maana magonjwa hayo...
Back
Top Bottom