Mwongozo kwa Balozi yeyote atakayeitwa kwenye mjadala na Tundu Lissu

Maswali ya hovyo yasiyofikirisha! Hapa ni jf na sio kipindi cha watoto show! Kama vipi rudisha pesa za watu ulizolipwa kwani hakuna kazi uliyoifanya hapa! Kanywe mbege nakuja kukulipia!
 
Kuna watu wakishapenda kitu hata kiwe kinamatatizo kiasi gani wenyewe wamo tu. Jmn duniani hapa tunapita tu kila mtu atakufa kwa wkt wake hivi mtajibu nini huko mbinguni??? Watendeeni mambo mema watu mnaowaongoza mtapata mwisho mzr. Kama wazazi wako wangefanyiwa UNYAMA HIVI ungetuletea maswali kama haya???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unamuuliza maswali je huko hospitali unafikiri aikwenda kutibiwa bawasir kwa siku zote hizo maswali yako ya kitoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahahaha...... Hivi kwa tukio kama lile kama hamna wakubwa wanaohusika jamani tuseme tu ukweli upepelezi usingefanyika wa maana ili kujua mbivu na mbichi?, hivi kweli kabisa tukio kama lile eti upepelezi ushindwe kukamilika kisa Dereva ambaye alikuwa hapo kenya tuu hata kwa mguu unamfuata? Hivi kweli kama hawahusiki na jambo lolote hata mahojioano anayoyafanya huko wanatumwa kumjibu wangepata kigugumizi? Kweli mnataka mtuambie mmeshindwa kujua ukweli wakat mlisema mnajiweza basi semeni hao wapelelezi kutoka nje waje watuambie ilikuaje, ili kama T.L alijipiga mwenyewe tujue, kuliko kuanza kuzungushana na maswali mengi wakati uwezo wa kupata majibu tunao, huwa tunaambiwa serikal ina mkono mrefu, umeshindwa kuutumia kupata ukweli tusimung'unye maneno hapa, aanze kukuonyesha matundu ya risasi ili ugundue nini wakat ameshapona ungetaka kuyaona hayo matundu alikuwa hapo Kenya muda gani au wakat huo wazo la matundu alikuwepo? Hahahah mlijua mmemaliza safari kumbe ndio inaanza
Angepigwa risasi mkuu wa malaika ungeona watu teleeee wamekamatwa,lakin kwa lisu hata mende hajakamatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi unauliza in vipi Lissu alijua kuwa askari wametolewa na CCCTv cameras kung'olewa pale main gate wakati yeye mwenyewe anaishi humo kwenye hizo nyumba za viongozi!! Anashindwaje kujua kitu kama hicho?!!!
 
MUONGOZO KWA BALOZI YEYOTE ATAKAYEALIKWA KWENYE MJADALA NA TINDU LISSU
Ndugu Lissu kabla sijakupa pole kwa unayodai yamekukuta ninayo mambo kadhaa yanayohitaji ufafanuzi. Awali ya yote ningependa utuonyeshe matundu 16 zilipoingilia risasi mguuni mwako?
Pili ningependa unifafanulie haya:
a. Ulijuaje kuwa waliokuwa wanakufuata toka bungeni (japo 2017 ulidai walikufuatilia toka Tegeta) ni wauaji?
b. Ni Kwa nini uliamua kwenda nyumbani ilhali ulijua wanaokufuata ni wauaji?
c. Bila Shaka waliokuwa wanakufuata walikuwa ndani ya gari au magari. Ni Kwa nini hukupiga picha gari/magari au hata kunakili namba za usajili za magari au gari?
d. Kwa ufahamu wako ilikuwa vipi risasi hata moja isimpate dereva ambaye alikaa upande risasi zilikotokea? Kumbuka kuwa Dereva wako alidai alikuvuta na kukundamiza.
e. Dereva wako alianza kuugua lini? Mara tu baada ya tukio alionekana akiwa amebeba nguo zenye damu akipokea maelekezo toka Kwa MBOWE. Je aliugua baada au kabla ya hapo? Aliugua ugonjwa gani na gharama za matibabu yake analipiwa na nani? Mko naye hospitalini Bruxelles? Wakati huu wewe unazurura yeye Yuko wapi?
d. Umekuwa ukidai unawajua waliokushambulia na umekuwa ukituhumu serekali. Wewe ni wakili unao ushahidi unaokubalika mahakamani? Leo serikali ikitaka mahakama ikutake upeleke ushahidi utapeleka?
e. Umekuwa ukidai serikali haikulipii matibabu. Je wewe unastahiki kulipiwa matibabu na serikali? Huwajibiki kulipiwa na Bunge? Huoni ukilipiwa na serikali itasemekana serikali imemeza Bunge kama ambavyo umetuhumu mara kadhaa?
d. Kuhusu kulipiwa matibabu na Bunge ulifuata utaratibu? Iko wapi rufaa yako toka MUHIMBILI? Hivi ulipokuwa Nairobi si uliulizwa Kwa nini hukuenda MUHIMBILI ukajibu hamkuwa na Imani na madaktari uliowaita ni WA SERIKALI?
e. Umedai mara kadhaa hukuwahi kutembelewa na viongozi wa serekali. Hivi ni lazima wewe utembelewe? Lakini ukionyeshwa picha ukiongea na makamu wa raisi ukiwa Nairobi na ukiwekewa clip ukisikika unamshukuru na kumuomba akupelekee salamu zako Kwa Raisi bado utasimamishwa huu uongo?
f. Umekuwa ukidai kuwa siku ya tukio CCTV na walinzi waliondolewa. Kutokana na tabia yako ya kusema uongo unao ushahidi kuonyesha Kwanza kuwa CCTV na walinzi walikuwepo? Una ushahidi kuonyesha walinzi wakiondolewa au CCTV zikiondolewa? Ukiulizwa mahakamani unaweza kutoa ushahidi huu? Je unataka kutuambia walinzi waliwekwa kulinda kila MTU? Hivi walinzi WA chadema waliondolewa na nani? Ni Kwa nini hukuwahi na CCTV kwenye nyumba yako Kwa ajili ya usalama wako? Ni lini ulijua CCTV na walinzi wameondolewa? Ni kabla, wakati au baada ya tukio? Kama ulijua kabla Kwa nini hukuhoji au kuchukua tahadhari au kuarifu Chama chako wakuwekee ulinzi? Sidhani umejua hili wakati au baada ya tukio.
g. Je ukiwa mtunga sheria hujui kuwa ni kosa kupokea mshahara wakati mwajiri wako hana taarifa zako na kazini huonekani?
h. Umekuwa ukidai Tanzania hakuna demokrasia au uhuru wa kujieleza. Je Chama chako hakina vyombo vya habari? Hamtumii vyombo hivi for freedom of expression? Huwa hakuna uchaguzi? Ulipataje ubunge kama hakuna demokrasia?
h. Huwa unapenda kuonyesha unawajali Sana wananchi wanyonge. Je ni Kwa nini na wewe ni sehemu ya kuwanyonya wanyonge kupitia mishahara na marupurupu ya kibunge ambayo yanazidi ya wabunge katika nchi za magharibi?
i. Je katika maisha yako umewahi kumuona mhindi, Mzungu, Mwarabu, mlatino, mchina au mwafrika aliyekuja Tanzania kuongea na RTD au TVT au ITV au STAR TV au chombo chochote cha habari nchini kuhusu matatizo alivyopata nchini mwake? Unadhani ni kwa nini hujawahi kuona?
j. Mwisho kabisa Ndugu Lissu ningependa kujua katika maisha yako umewahi kutumia kisisimua ubongo cha aina yoyote?
Hii issue kila mtu anaweza kutoa maoni anavyoweza. Lakini kwa ushauri wangu maswali ya kichunguzi yanahitaji watoa majibu. Kuna wanaotakiwa kujibu maswali mengi uliyosema hapo siyo mabalozi. Mabalozi wanatakiwa kusemea taifa/nchi au tuseme Serikali.

Majibu ya kichunguzi yanatakiwa yatolewe na polisi.

Suala la kufichwa kwa taarifa ya kamati ya Ulinzi ya bunge yanatakiwa kutolewa na Spika.

Binafsi nilifikiri ni muhimu polisi watimize wajibu wao. Maana Katiba inawataka wafanye hivyo. Hawatakiwa kusubiri maagizo. Suala la Uchunguzi wa jinai halihitaji agizo LA viongozi wa kisiasa.
 
Acha kudhalilisha jina la kichaga.. Hakuna mchaga bwege anaeweza kuuliza maswali ya kibwege kama haya yako..
 
Rudia kusoma ulichoandika na kama unafamilia basi wewe ni mzigo omba usirithishe watoto huo ujinga wako itakuwa mzigo kwa taifa hata kama unachumia tumbo
 
Kwa hoja zako hizi za kipumbavu hata uwenyekiti wa kitongoji hupewi kama ndio iliokua unataka, maswali ya chekeche unauliza graduate lazima uonekane hamnazo kichwani mwako, na hakuna kimaro mwenye akili ya kunyunyizia kama yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa, wewe Calvin Kimaro, mbona unaweweseka hivyo kwa TL kuhojiwa katika vyombo huru vya habari vya nje kwani na wewe ni mbunge? Si unajua wabunge waliona bundi kikwetu tunaita "Ginhhi"
Wote walioona bundi wanamsakama sana TL ivi amekulia nini chako kaka?.si mumwache . Bundi hajawaacha salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUONGOZO KWA BALOZI YEYOTE ATAKAYEALIKWA KWENYE MJADALA NA TINDU LISSU
Ndugu Lissu kabla sijakupa pole kwa unayodai yamekukuta ninayo mambo kadhaa yanayohitaji ufafanuzi. Awali ya yote ningependa utuonyeshe matundu 16 zilipoingilia risasi mguuni mwako?
Pili ningependa unifafanulie haya:
a. Ulijuaje kuwa waliokuwa wanakufuata toka bungeni (japo 2017 ulidai walikufuatilia toka Tegeta) ni wauaji?
b. Ni Kwa nini uliamua kwenda nyumbani ilhali ulijua wanaokufuata ni wauaji?
c. Bila Shaka waliokuwa wanakufuata walikuwa ndani ya gari au magari. Ni Kwa nini hukupiga picha gari/magari au hata kunakili namba za usajili za magari au gari?
d. Kwa ufahamu wako ilikuwa vipi risasi hata moja isimpate dereva ambaye alikaa upande risasi zilikotokea? Kumbuka kuwa Dereva wako alidai alikuvuta na kukundamiza.
e. Dereva wako alianza kuugua lini? Mara tu baada ya tukio alionekana akiwa amebeba nguo zenye damu akipokea maelekezo toka Kwa MBOWE. Je aliugua baada au kabla ya hapo? Aliugua ugonjwa gani na gharama za matibabu yake analipiwa na nani? Mko naye hospitalini Bruxelles? Wakati huu wewe unazurura yeye Yuko wapi?
d. Umekuwa ukidai unawajua waliokushambulia na umekuwa ukituhumu serekali. Wewe ni wakili unao ushahidi unaokubalika mahakamani? Leo serikali ikitaka mahakama ikutake upeleke ushahidi utapeleka?
e. Umekuwa ukidai serikali haikulipii matibabu. Je wewe unastahiki kulipiwa matibabu na serikali? Huwajibiki kulipiwa na Bunge? Huoni ukilipiwa na serikali itasemekana serikali imemeza Bunge kama ambavyo umetuhumu mara kadhaa?
d. Kuhusu kulipiwa matibabu na Bunge ulifuata utaratibu? Iko wapi rufaa yako toka MUHIMBILI? Hivi ulipokuwa Nairobi si uliulizwa Kwa nini hukuenda MUHIMBILI ukajibu hamkuwa na Imani na madaktari uliowaita ni WA SERIKALI?
e. Umedai mara kadhaa hukuwahi kutembelewa na viongozi wa serekali. Hivi ni lazima wewe utembelewe? Lakini ukionyeshwa picha ukiongea na makamu wa raisi ukiwa Nairobi na ukiwekewa clip ukisikika unamshukuru na kumuomba akupelekee salamu zako Kwa Raisi bado utasimamishwa huu uongo?
f. Umekuwa ukidai kuwa siku ya tukio CCTV na walinzi waliondolewa. Kutokana na tabia yako ya kusema uongo unao ushahidi kuonyesha Kwanza kuwa CCTV na walinzi walikuwepo? Una ushahidi kuonyesha walinzi wakiondolewa au CCTV zikiondolewa? Ukiulizwa mahakamani unaweza kutoa ushahidi huu? Je unataka kutuambia walinzi waliwekwa kulinda kila MTU? Hivi walinzi WA chadema waliondolewa na nani? Ni Kwa nini hukuwahi na CCTV kwenye nyumba yako Kwa ajili ya usalama wako? Ni lini ulijua CCTV na walinzi wameondolewa? Ni kabla, wakati au baada ya tukio? Kama ulijua kabla Kwa nini hukuhoji au kuchukua tahadhari au kuarifu Chama chako wakuwekee ulinzi? Sidhani umejua hili wakati au baada ya tukio.
g. Je ukiwa mtunga sheria hujui kuwa ni kosa kupokea mshahara wakati mwajiri wako hana taarifa zako na kazini huonekani?
h. Umekuwa ukidai Tanzania hakuna demokrasia au uhuru wa kujieleza. Je Chama chako hakina vyombo vya habari? Hamtumii vyombo hivi for freedom of expression? Huwa hakuna uchaguzi? Ulipataje ubunge kama hakuna demokrasia?
h. Huwa unapenda kuonyesha unawajali Sana wananchi wanyonge. Je ni Kwa nini na wewe ni sehemu ya kuwanyonya wanyonge kupitia mishahara na marupurupu ya kibunge ambayo yanazidi ya wabunge katika nchi za magharibi?
i. Je katika maisha yako umewahi kumuona mhindi, Mzungu, Mwarabu, mlatino, mchina au mwafrika aliyekuja Tanzania kuongea na RTD au TVT au ITV au STAR TV au chombo chochote cha habari nchini kuhusu matatizo alivyopata nchini mwake? Unadhani ni kwa nini hujawahi kuona?
j. Mwisho kabisa Ndugu Lissu ningependa kujua katika maisha yako umewahi kutumia kisisimua ubongo cha aina yoyote?
Mtoa post nakushangaa mno na sijui kwanini nakushangaa nina imani malipo yote ni duniani hapa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom