Recent content by Mpinzire

  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Naomba kura kwenye SAMIA KALAMU AWARDS 2026

    Kuna watu hawapaswi kuwa mifano katika Taifa letu
  2. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

    Hekalu ni nini kwani?
  3. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Iran yateka Drone Nyambizi mpya ya Marekani

  4. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Boda aliyemuingilia Mwanafunzi wa Darasa la 3 (mbele na nyuma) - Mbande, anatamba mtaani, hatuoni dalili ya haki

    Upo sahihi sana! Mwakajana kuna kijana namfahamu alikutwa na hii kashfa, yeye alipelekwa mpaka Mahakamani ila Mazingira ya ushahidi wa kuthibitisha ilikuwa mtihani, huko sijui Zahanati walikopelekwa kujaza PF3 Dkt alikuwa kisanga, kwanza dkt hakuwa na Leseni, hakujaza Registration No. Yake na...
  5. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kuhusu katiba mpya; msimamo wa CCM ni upi?

    CCM itajibu hoja gani kwasasa? Ukidai Katiba Mpya usipopewa kesi ya Ugaidi basi watakuambia unaitishia Serikali wewe ni muhaini! Wao ata ukiwatama wabadilishe sheria basi umeitisha Serikali.
  6. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Huu mtego ndiyo utawaumiza Majaji kichwa, kitendo cha kukataa kuwaita mashahidi wa Lissu tena mashahidi muhimu kama DGIS, IGP, CDF! basi itakuwa wamefanya maaajabu ya ulimwengu, Naamini kwasasa wanajadiliana hawa mashahidi 7 wanafanyaje maana wasipoitwa basi kesi haina maana tena. Na tukumbuke...
  7. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Ndiyo muache kubambikia watu kesi, Hakuna kifungu chochote chs Katiba wala sheria kinachosema Rais hawezi kuitwa Mahakamani kutoa ushahidi, kupelekewa wito inawezekana na utaratibu umewekwa kwenye The Presidential Affairs Act sura ya 9 inatoa muongozo junsi ya kumfikishia Rais wito wa Mahakama...
  8. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka aachiwa huru bila masharti

    Hapo hamna cha mwenzao sema Polisi ni kama kuku aliekatwa kichwa! Wao kila kitu wanakurupuka tu! Lile katazo la kufanyua press eneo la Mahakama wao wanaita amri ya Mahakama! Yamkini huko wameenda kuuliza hiyo amri ya Mahakama aliyokikuka ni hipi? Wenyeww wanajibu lile tangazo na ndipo...
  9. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atapewa" kesi ya kujibu

    Pale anaenda kujibu nini? Bila mabadiliko hamna uchaguzi? Kushinikiza mabadiliko ya sheria ndiyo kuitisha Serikali? Au anaenda kujibu kitu gani hasa?
  10. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mama Mjane aliyehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kununua mihogo ya wizi ya shilingi elfu kumi .

    Huku kukutwa na ushahidi kwamba Mahakama ilijilidhisha kwamba shamba liloibiwa lina aina hiyo mihogo au? Ilipatikna mihogo mingapo ya uo wizi kati ya hiyo mingi aliyokuwanayo?
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za Jumuiya ya Madola kutaka Lissu aachiwe zimekwisha, kinachofuata ni utekelezaji

    Kuna wakati nawaza hasa nikiona picha za Patrice Lumumba akikimbizwa na kupigwa na askari wa kikoloni! Najiuliza hivi hawa wasasa tukiwa na uhuru na wale wa kikoloni wana tofauti gani?
  12. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kuna changamoto Gani umekutana nazo kama ushawahi kufanya kazi kiwandani?

    Azam sikuwahi kuingia ila nasikiaga wanasema pia, Pepsi nimepiga kazi ambayo unaweza kuvua tshirt kuweka kando maana jasho lake si la mchezo
  13. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kuna changamoto Gani umekutana nazo kama ushawahi kufanya kazi kiwandani?

    Miaka ya 2017-2019 Pepsi pale Nyerere Road kitengo Bondeni, vijana mchele mchele walikuwa wakija sikumoja tu siku ya 2 hawarudi! Kazi unapiga masaa 4 nguo zote zimeloa jasho sio mchezo! Mshahara elfu 7 kipindi hicho kwa siku na bado siku ya kupokea kuna wahuni wakiila na bado kuingia mzigoni...
  14. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

    Hii kanuni inahusu kwa wachezaji wa timu pinzani wakizungumza sio wenyewe kwa wenyewe.
Back
Top Bottom