Naomba Dr slaa unijibu gharama za ukumbi na matangazo ya tv na Redio kakulipia nani?kwanini tusiamini anayemliipa Mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo?
Jaji Augustino Ramadhanii anachukua fomu ya urais Kesho kikmkakati kama mzanzibari, mkristo ili Kuweka hali shwari ndani ya Chama Mhe Lowassa atapewa umakamu wa Rais.
Hivi sasa Rais ni muislam na Makamu Rais muislam imeonekana hiyo ndiyo njia ya kuinusuru Ccm
Mleta uzi huu ni uongo wa mchana. Wewe ni miongoni mwa vishoka makalla alivyokamata kwa wizi wa maji. Jamaa mpambanaji sasa umeleta umbeya wako humu kuchafua watu. Halafu unajichanganya yeye naibu Waziri anakaa nyumba za serikali ataishije tena huko mabwepande?uoongooooo mkubwa.makalla hawezi...
Amos makalla jembeee jamaa anakubalika sana. Mimi natoka madizini huyu jamaa mtu wa watu sana kachangia na kufika ktika vijiji vyote 130 rekodi hii hatujawahi kuiona. Miaka mitano huwezi kufanya kila kitu ila bora anavyowafikia wananchi ht kwa bodaboda. Mafunzo ya bodaboda kagharamia yeye na hao...
Kwa hali ilivyo ndani ya ccm urais sasa ni wazi kwa hawa wafuatao mizengo pinda ambaye amerndelea kujiiimarisha zaid kupitia usukwaji wa baraza jipya la mawaziri akidhibiti nguvu za edward lowasa ambaye kila kona anatajwa kama Rais ajaye na dr kama mbadala wa makundi yote yanayohasimiana ndani...
Mnyika hivi husomi nyakati huna nafasi ubungo. Ahadi zako zinakukaanga, hujafanya lolote hizo unazofanya ni sarakasi.mawaziri wakifanya ziara watupe majibu.kimara goba ,kimbamba hatutalki hata kukuona.huyu bibi yako uliyempa mradi hapa goba amekula hela za mradi. Wewe aga kabisa
Jamani nyie vibaraka wa wasaka acheni uchuro wa kuleta uzi wa kishabiki hao mnaowataja anayeingia katika 3 bora ni pinda, mzanzibari mmoja na mwanamke mmoja. Haingii akilini kuendelea kukomaaa na ushabiki wa mara sokoine wa pili? Hivi sokoine ni lini alikodi helkopta,? Ni lini sokoine aliwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.