Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

Labda kama hiyo kamati haiitwi kamati ya maadili kwa maana ya maadili kweli kweli

Ila kama kweli ni kamati ya maadili kwa maana ya maadili, there is no way edo atapitishwa na hiyo kamati, mark my words and let us meet in July
 
Ni siasa za majitaka.Ukitaka watu safi nadhani so far hakuna hata mmoja.Wizi wa kutisha serikalini ulikuwapo ulikuwapo hata wakati wa huyo Mzee wa Zamani Mf: Kuna meli mpya ya TACOSHILI iliuzwa kabla hata ya kufika Dar ,ATC walokodi ndege mbili mbofu kabisa ambazo hazikuwa kuruka hata mara moja,Barabara sub standards , mashirika yote ya umma ya zamani (utashangaa shirika lina monopoly ya kuwa lenyewe lakini kila mwaka linaomba ruzuku serikalini TBl,TPTC,TANESCO,SUNGURA TEX,KILITEX,MWATEX ,UFI,UDA,KAMATA,STAMICO,TANGANYIKA PACKERS ,etc).Watu waliiba sana na huyo mzee hakuwafanya lolote.Siko upande wa sasa lakini ni muhimu kupata facts kama hizi
 
Pamoja na tuhuma za ufisadi dhidi ya mh Lows bado anaonyesha ujasiri wa kusonga Mbele kwa sababu anafahamu hakuna aliyemsafi ktk viongozi wenzake.Anangoja tu jina lake likatwe ayafungue makombora ambayo yanaweza kuleta msiba kwa Chama
 
Nimekuwa nikjiuliza sana,ila sipati majibu.
Hivi haya mashambulizi kwa EL ni kwa ajili ya urais tu au kuna lingine?
Uchafu wa EL mbona unaonekana kipindi hiki tu baada ya kutaka kuingia magogoni?
Mtandao wa EL ndo ulimuingiza JK madarakani,hamkuuona uchafu wake?si mlipaswa kusema Paulo usicheze na kula na sisi
una mikono michafu?
Haitoshi sasa kuacha kumsakama,hizi shutuma zote zilithibitishwa na mahakama au ni maneno ya vijiweni?
Hivi kati ya watangaza nia wote hakuna mchafu hata mmoja?wote ni safi?mchafu ni EL pekee yake?kama wapo kwa nini hawasemwi?
Naomba nisieleweke vibaya kuwa namtetea EL ila nachukia sana uonevu na kupakaziana kusiko na maana.
 
Kuna Mtanzania mmoja juli alikuwa ananiambia yeye haoni maovu ya Lowasa ila anachojua yeye deal la Richmond amesingiziwa tu! Poor Tanzanians! Natamani hata angekuwa na uwezo wa kusoma hizi para za NYAMALINGO labda zingemfungua macho.

Mtanzania huyu alinifanya niwafaham hawa wanaotetea MAFISADI hata hapa JF, ni wavivu sana kufikiri na walio wengi ni vilaza lakini akili ya kawaida tu haiwezi hata siku moja ikatetea mtuhumiwa wa ufisadi ashike hatam za uongozi waNchi
 
Kauli ya kwamba lowassa anakubaliwa na watz wote mi nadhani c sahihi jizungumzie ww unayemkubali na cvnginevyo
 
Rafiki zake wooote wanatuhuma hv watanzania tunawazaga nn yaan kumpigia debe mtu ambaye wote waliomzunguka kila mtu anakashfa yake jamani tuamke, hlf napoona kijana unakuwa minded fance ukizeeka lazima uwe chatu,
 
Nyamalingo,pole sana hao wote wanaomshabikia Mzee Lowa-Hassa hiyo ahadi hawaijui,na siyo hiyo tu hata Katiba ya TANU na CCM hawazijui,hivyo sidhani kama umewasaidia zaidi sana watakuponda tu..............
yeye NYAMALINGO kafikisha ujumbe kwa wale wanaosindikiza kwa jaza na hasa wasiomjue EL km TeamLowassa na safari yao ya matumaini
lakini habari zote hizo zipo mezani kwa wale UWT wanaochuja majina ili kuyapeleka NEC-CCM
mambo mengi tu yapo Capacity charge za Tanesco
Vocha za alphatel nk
tusibiri July 12, 2015 sio mbali
 
Last edited by a moderator:
wakati wa richmond lowasa alienda kuomba ushauri kwa rostam amekili mwenyewe aliacha kufata hata ushauri wa mwanasheria mkuu na sasa hivi rostam yuko nae bega kwa bega akizungukwa na wakina karamagi,tibaijuka huku kina chenge wakijificha pembeni na hata baada ya mzee kasori kusema ukweli alitishia kumuua huyu mtu wanayempigia debe hafai na wala hatakuwa rais wanaojifanya wapambe wake wako pale kwa ajili ya kumlia pesa alizotuibia watanzania

You said it all mkuu

Hakika there is no way tumkabishi nchi fisadi, dunia yote itatushangaa
 
mmmh mwaka huu mtaandika sana lakini ndo hivyo tena lowasa ndo rais wa hii nchi ikishindikana lazima ukawa wachukue nchi coz ndani ya ccm hakuna anayeweza kupeperusha bendera ya urais zaidi yake
 
yeye NYAMALINGO kafikisha ujumbe kwa wale wanaosindikiza kwa jaza na hasa wasiomjue EL km TeamLowassa na safari yao ya matumaini
lakini habari zote hizo zipo mezani kwa wale UWT wanaochuja majina ili kuyapeleka NEC-CCM
mambo mengi tu yapo Capacity charge za Tanesco
Vocha za alphatel nk
tusibiri July 12, 2015 sio mbali

Sijakosea kumweleza kuwa hilo angalizo linaenda kwa watu wasioelewa hata maana ya AHADI ZA MWANACHAMA WA TANU/CCM
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtoa hoja atanisamehe kwa sababu ameandika kitu ambacho hakina kichwa wala miguu kwa sababu tu ya mandazi aliyonunuliwa mgahawani kwa kigezo cha kumchafua lowassa ili tajiri wake wa kahawa vichochoroni aweze kumwongezea vikombe vya chai. Hebu huyu mwandishi wa hii post, ajaribu kutueleza kwenye jukwaa hili kuwa dhumuni hasa la kwake la kuandika thread hin nini????  lazima kuna kitu unataka watanzania wakielewa kuhusiana na lowassa na mbio zake za urais. unachuki binafsi sana, hufai hata kidogo kupewa ubalozi wa nyumba, hufai kuwa mshauri wa tanzania kwa sababu tu wewe ni mtu mwenye chuki usiyefaa kwenye jamii ya watanzania waliokwisha fahamu ukweli na kila kitu kuhusu magazeti yenu ya udaku mnayoandika kila mara kuhusu lowassa. Mbona haujaanzisha makala ya kwanini AZIMIO LA ARUSHA LILIFUTWA???? NA KAMA UNATAKA KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUMNYIMA LOWASSA HAKI YAKE LAKINI MASUALA YA USAWA, HAKI, VIWANDA NA AZIMIO LA ARUSHA LILILOKUWA KINYUME NA RUSHWA LIMEFUTWA, nini hiki unataka watanzania wakielewe tena heti kwa Lowassa tu kutokana na alichokisema baba wa taifa???? mwaka huu mtahaha sana but the president ni lowassa.
Bahati nzuri sana hakuna hata moja katika habari hiyo ambalo Lowassa anaweza kukanusha!
 
Back
Top Bottom