Nimekuwa na mwanamke mmoja mke wa jamaa. Yaani alinianza mwenyewe sikuwa na time naye, baadae huruma na utu ukanishika, Kwa kuwa tunatoka Kwa siri na tunakwenda mitoko mbali, anadai moment kama hizo hazipati Kwa Mr ake.
Sasa nikajiuliza kwann hamuambii! Na mnalala pamoja, anadai anapigwa...
Hivi Faiza kama sio takataka ni kitu gani.
Yule Dem ni takataka za chini zilizooza. Yule hata uchi wake unakoma. Ni katili anamuathiri mtoto. Anamdhalilisha mtoto. Sugu ni sugu miaka na miaka.
Yaani hata nyimbo, hotuba zake ni sugu utamsikiliza na ninyi mnamsikiliza na Faiza anamsikiliza...
Ujue unanafasi nzuri kuhama Kwa kuwa Upo kwenye mfumo.
Kwa mfano. Ukitaka kuhamia anywhere lazima uwe na sifa. IT- uwe na bachelor of computer science au bachelor of ict.
Afisa mipango-mchumi..uwe na bachelor of economics
CHa kushangaza wazazi wame jiondoa kwenye huduma. Jamani watoto siku hizi Hawa wanaowaita kutoka kaya maskin hawanunuliwi hata viatu na wazazi wao.
Walimu wanawachangia Hawa Watoto imagine. Nchi Ina watu Wana laana Sana.
Huyu mzaz kutwa anatafuta Ili akalewe pombe. Je mwananch huyu anajenga...
Kuwapa posho walimu wakuu, Wakuu was shule, maafisa Elimu kata, maafisa Elimu wawili (msingi na sekondari) na kumuacha mwalimu ni laana.
Posho iondolewe, afisa Elimu mmoja anatosha kusimamia Elimu. Wakuu wa idara halmashauri wanalamba posho za kila mwezi nchi hii itahitaji MTU zaid ya marehem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.