Mafuta yapanda baada ya Iran kutangaza nia yake ya kusitisha uuzaji mafuta kwa nchi 6 za Ulaya
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema itasitisha uuzaji mafuta ghafi ya petroli kwa nchi sita za Umoja wa Ulaya. Nchi hizo ni pamoja na Uholanzi, Uhispania, Italia, Ufaransa, Ugikiri na Ureno.
Mapema...