Recent content by Mphamvu


 1. Mphamvu

  Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

  Haya ndio maandiko yanayohamasisha ushoga. Wanataka mzini ninyi kwa ninyi, futi kafutika futi... Ndio maana Vatican hii michezo haiishi. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Mphamvu

  Nash MC Temeke Show

  Kutokana na safari zake za Ujerumani huwa namuita Nash Heinz-Rumenigge... Anawakilisha vema tasnia.
 3. Mphamvu

  Nash MC Temeke Show

  Niponde nisiponde? Maalim Ponda...
 4. Mphamvu

  Waziri Kigwangalla afanyiwa maombi na wazee wa kimila na waganga wa kienyeji

  Mungu aliyeleta ajali ya Mafuriko dunia nzima akaua kila kilichomo isipokuwa Noah na familia yake na pacha ya wanyama? You kidding, right?
 5. Mphamvu

  Waziri Kigwangalla afanyiwa maombi na wazee wa kimila na waganga wa kienyeji

  Miungu ipo, na mungu wa Waisraeli amehangaika nao sana kwenye harakati zake na taifa lake teule... Kigwa amelindwa na miungu ya babu na bibi zake, sio mungu wa Arabuni wala wa Ulaya
 6. Mphamvu

  Bao ngapi umewahi kupiga katika historia yako ya mapenzi?

  Kama punyeto nayo ni sehemu ya mapenzi nadhani rekodi yangu bado haijavunjwa...
 7. Mphamvu

  Google ikizimwa nini kitatokea?

  Kama alivyosema MO11 , tutahamia Bing. Google wana wateja wengi na ushawishi mkubwa, lakini haimaanishi kuwa wakiondoka ndio dunia ya mtandao itakufa.
 8. Mphamvu

  Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Ali Davotuglu awakabidhi Tuzo na Medani Simba Sports Club

  Yanga ndio wameenda sana Uturuki. Iweje tuzo wapewe Simba, huyu balozi ni mchochezi...
 9. Mphamvu

  Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

  Kwa hiyo Yesu ni Mfilisti?
 10. Mphamvu

  Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

  Suh mi go suh den...
 11. Mphamvu

  Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

  Sea | Mistari Yetu: Mistari ya Papii Kocha Sea
 12. Mphamvu

  Hawa Raia wa Malawi wamekuwa kero huku Tegeta, uhamiaji wamelala?

  Ushamba tu huo mkuu. Soma zaidi kuhusu movement za watu duniani afu urudi tuendelee kubishana...