Recent content by Mpepokigoma

  1. Mpepokigoma

    Uhujumu NSSF

    Nakupa kongole na nakuunga mkono, kiukweli kuna ka utofauti ukilinganisha na miaka mi 3 nyuma Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mpepokigoma

    Uhujumu NSSF

    Mungu akuadhibu hakika ukosoaji wako kwake wastahili adhabu kali sana kwa familia yako. Weka Nyuzi acha chuki binafsi we Celina. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mpepokigoma

    Uhujumu NSSF

    Walizoeshwa vibaya, sasa chuma kimekaza watoto kelele kibaooo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mpepokigoma

    Uhujumu NSSF

    Mtoa nyuzi ana issue binafsi hawa wanaonekana wale waliokua wamezoea mitelezooooooooo saahii kamba imekata Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mpepokigoma

    NSSF si shamba la bibi tena

    Jifunze kufanya utafiti si kila kitu una buni buni, ukitaka kujua fanya utafiti kama mwenzio vitu vipo wazi. Toka usingizini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mpepokigoma

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Nadhan amekugusa ww itakua ndo maan unatapatapa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mpepokigoma

    Apewa kesi ya Uhujumu Uchumi kwa kusingizia amekufa ili alipwe mafao kwa mkupuo

    Hizi zama sio za uongo tuachen ujanja ujanja Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mpepokigoma

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Your too low minded for JF nenda kaimbe ngonjera nje huko Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mpepokigoma

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Jina lako na maandiko yako hayafanani [emoji16] huwezi kuwa fighter alafu unaandika shalo kinoma. Humu JF inafaa Elites uandike jambo lenye mashiko sio mambo ya chuki binafsi. Ingewezekana kama amewabana huko kuiba kuiba kwenu mkapumzike nyumbani au mtafute cha kufanya maana vitu vpo wazi sana...
  10. Mpepokigoma

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    [emoji23][emoji23][emoji23] walizoea vitonga, hali ni tofauti kabisa. Janja janja zimefutika kabisaaaaaaaaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mpepokigoma

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Maskini vilaza wangu haoooo unaleta udini kwenye kazi....eti Ndalichako kavuruga wizara ya elimu na wewe umevuruga wizara yako ya majungu, chuki na uzandiki ...hovyo kabisa wewe jamaa Kuna mtu ana ujasiri wa kuwagusa Wanawake MAHIRI kama Mhagama na Ndalichako ...? Hivi macho yako yanaona kama...
  12. Mpepokigoma

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Mi nauliza hivi katika uelewa wangu kama mshikaji hapo juu alivyosema nani asiyejua umahiri wa Erio Katika Hifadhi ya Jamii mwenyewe huyu jamaa Nina mind kwa kuwa Kabana njia zote za kupata pesa kwa njia za chini ya kapeti kama tulivyokuwa tunaenda pale NSSF zamani lakini ndio katunyooosha...
  13. Mpepokigoma

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Tunavyomfahamu utendaji wa Mhe.Rais anahitaji kuunda tume? kwani mnadhani hajui kilichokuwa kinaendelea ndani ya NSSF na nini kimefanyika? Acheni majungu . Wacheni watu wapige kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom