Uhujumu NSSF

lyambalyamfipa

New Member
Jan 27, 2020
1
3
MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI,

Wafanyakazi wa NSSF, tunaendelea kuwasilisha malalamiko yetu kwako kuhusu ufisadi na ubaguzi uliopo shirikani ili ufanye uchunguzi wako na uchukue hatua stahiki ili kuliokoa shirika letu.

1. Udanganyifu katika utendaji wa shirika.

Mkurugenzi Mkuu kwa makusudi kabisa aliopoingia shirikani alipunguza malengo yaliyokwisha wekwa na mtangulizi wake ili aonekane 'anaperfom" hivyo taarifa zikawa zinapelekwa wizarani zikionesha anavuka malengo kwa mwaka wa 2018/2019.

Mwaka 2019/2020 kwa ujanja kabisa hakukuwa na ongezeko lolote la malengo bali alichofanya ni kujumlisha michango na wanachama waiohamia NSSF kutoka mifuko mingine kwenye makusanyo ya mwaka uliopita, hivyo inaonekana ameongeza makusanyo kwa asilimia kubwa sana na amekuwa akipita na kujisifu kwa hilo.

2. Ubaguzi kwa wafanyakazi.

Mkurugenzi huyu amekuwa akifanya ubaguzi wa wazi baina ya staff aliotoka nao PPf na sisi wa NSSF, kwa mfano staff wote wa PPF wamewekwa makao makuu tu hawapelekwi mikoani.

Aidha kuna staff ambao PPF hawakuwa na cheo chochote lakini walilopokuja NSSF wamepewa umeneja.

3. Ubaguzi katika mishahara.

Inafahamika wazi kuwa mfanyakazi wa umma anapohamishiwa kwenye taasisi nyingine anahamia na mshahara wake iwapo ni mkubwa.

PPF mishahara yao ilikuwa ni mikubwa kuliko NSSF. Lakini kwa hila kabisa akatumia kipengele cha kodi ya nyumba na kuwqaongezea mishahara staff aloikuja nao kutoka PPF, kisha wakaingia mikataba na mabenk chap chap wakaikopea nyongeza ile yote hii mantiki yake ni kukwepa hoja za CAG iwapo wangekopeshana kupitia mikopo ya shirika na vile vile kujilipa in advance in case of anything. Jamaa ni mjanja sana yeye na watu wake.

4. Dhuluma kwenye makato ya wafanyakazi.

Ndani ya NSSF kuna mpango wa uchangiaji wa wanachama wa NSSF-Hiari kwa wafanyakazi ambapo mwajiri anachangia 10% na mfanyakazi anakatwa 10%.

Mpango huu haupo NSSF peke yake bali mashirika mengi yana mpango kama huu kwa namna tofauti hata PPF walikuwa nao na walilipana mafao mifuko ilipounganishwa.

Mwezi Desemba 2018 mkurugenzi mkuu alisitisha kuchangia 10% yake bila taarifa yoyote huku akiendelea kuwakata wafanyakazi mpaka hivi leo licha ya wafanyakazi wengi kuandika barua kuomba makato hayo yasitishwe.

Mwezi Desemba 2019 mkuu huyu aliitisha baraza la majadiliano na kuwafahamisha kuwa alisitisha makato kutokana na agizo lako ulilotoa ulipokutana na viongozi wa mifuko mwezi Desemba, 2018 hivyo amekuja na mpango mpya ambao itabidi michango yote iliyokokwisha changiwa NSSF kiasi cha bilioni 23 kitolewe na uanzishwe mfuko binafsi wa wafanyakazi utakao kuwa na bodi yake na uongozi wake utakaojumuisha na wafanyakazi waliohamia.

Wawakilishi wa wafanyakazi walijua huu ni mchezo mchafu aina ya DESI, hivyo wakaugomea mpango huo na ikakubaliwa kuwa makato kwa wafanyakazi yasitishwe kuanzia mwezi Desemba, 2019.

Na michango iliyopo iendelee kubaki NSSF, Cha kushangaza makato yanaendelea mpaka sasa na hatujui kimsingi mkuu anahitaji nini hasa.

Mheshiwa Rais, tunaomba uingilie kati, kwani tunakufahamu na wewe ni msema kweli na mtetezi wa wanyonge.

Mungu akubariki!
 
Moja kati ya Hoja mbovu kuwahi kutokea Jamii forum, kwanza umeandika kama una issue personal sanaaaaa .. Fanyeni kazi achen ujanja ujanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kiongozi wenu yuko vizuri, hatukuwahi kusikia kelele wakati yuko PPF, tatizo mlizoeshwa vibaya huko NSSF sasa hamtaki kubadilika, pambaneni na hali zenu. Muheshimiwa Raisi, achana na hawa maboya, jenga taifa.
 
Ukweli mtupu.. jamaa ppf kaibeba sana.. nashangaa nssf anaifelishaje...ppf ndio mfuko pekee ulikuwa unajiendesha bila skendo
Huyo kiongozi wenu yuko vizuri, hatukuwahi kusikia kelele wakati yuko PPF, tatizo mlizoeshwa vibaya huko NSSF sasa hamtaki kubadilika, pambaneni na hali zenu. Muheshimiwa Raisi, achana na hawa maboya, jenga taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa Karma. Enyi wafanyakazi wa Nssf manwatendea vibaya sana wastaafu au walioachishwa kazi wakija kwenye ofisi zenu kudai pension zao. Hii inaitwa Kukoma nyani giladi yaani eye for an eye.

Pale Ubungo kuna usumbufu mkubwa sana mara kumi Ilala. Hamuwezi kufanyakazi kwa maringo wakati mishahara yenu inatokana na wateja wenu ambao ni working people.

Kwanza Mliajiriwa kwa kubebwa mtoto wa fulani, mara kaletwa na Rizi moko haya ndio matokeo ya yale mnayowatendea wafanyakazi.

Tena ikiwezekana mugukuzwe kazi wapewe vijana waliotoka chuowana adabu na customer service nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa sema kama mwaka sasa mambo yamebadilika sana , kuna ofisi yao nilienda huduma zimekuwa imara sana hakuna majivuno tena kjna kaheshima flan hivi.. hakika Magufuli kapatia sana kumueka jamaa pale, nimependa uwazi kuhusu ulipaji wa vitu, mwendo ni kielektroniki.. kiukweli we are so proud to see proper working style. Aendelee kukaza wanyooke walizoea kurelax
Hii inaitwa Karma. Enyi wafanyakazi wa Nssf manwatendea vibaya sana wastaafu au walioachishwa kazi wakija kwenye ofisi zenu kudai pension zao. Hii inaitwa Kukoma nyani giladi yaani eye for an eye.

Pale Ubungo kuna usumbufu mkubwa sana mara kumi Ilala. Hamuwezi kufanyakazi kwa maringo wakati mishahara yenu inatokana na wateja wenu ambao ni working people.

Kwanza Mliajiriwa kwa kubebwa mtoto wa fulani, mara kaletwa na Rizi moko haya ndio matokeo ya yale mnayowatendea wafanyakazi.

Tena ikiwezekana mugukuzwe kazi wapewe vijana waliotoka chuowana adabu na customer service nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nssf nyie Kwanza wengi hapo hamjapitia michakato yq wazi ya ajira,wengi mmewekwa Kwa kubebwa ndo maana hampo competent,mlitakiwa msambazwe kwenye halmashauri wote nyie mkajifunze Kazi,muache kufanya kazi kwa mazoea! Hilo shirika linahitaji kufumuliwa kama bandari kila kitu kianze upya,ajiri watoto wapya kupitia utumishi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli kama yuko hivyo basi hana maana na kikono chake kama cha kuku
MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI,

Wafanyakazi wa NSSF, tunaendelea kuwasilisha malalamiko yetu kwako kuhusu ufisadi na ubaguzi uliopo shirikani ili ufanye uchunguzi wako na uchukue hatua stahiki ili kuliokoa shirika letu.

1. Udanganyifu katika utendaji wa shirika.

Mkurugenzi Mkuu kwa makusudi kabisa aliopoingia shirikani alipunguza malengo yaliyokwisha wekwa na mtangulizi wake ili aonekane 'anaperfom" hivyo taarifa zikawa zinapelekwa wizarani zikionesha anavuka malengo kwa mwaka wa 2018/2019.

Mwaka 2019/2020 kwa ujanja kabisa hakukuwa na ongezeko lolote la malengo bali alichofanya ni kujumlisha michango na wanachama waiohamia NSSF kutoka mifuko mingine kwenye makusanyo ya mwaka uliopita, hivyo inaonekana ameongeza makusanyo kwa asilimia kubwa sana na amekuwa akipita na kujisifu kwa hilo.

2. Ubaguzi kwa wafanyakazi.

Mkurugenzi huyu amekuwa akifanya ubaguzi wa wazi baina ya staff aliotoka nao PPf na sisi wa NSSF, kwa mfano staff wote wa PPF wamewekwa makao makuu tu hawapelekwi mikoani.

Aidha kuna staff ambao PPF hawakuwa na cheo chochote lakini walilopokuja NSSF wamepewa umeneja.

3. Ubaguzi katika mishahara.

Inafahamika wazi kuwa mfanyakazi wa umma anapohamishiwa kwenye taasisi nyingine anahamia na mshahara wake iwapo ni mkubwa.

PPF mishahara yao ilikuwa ni mikubwa kuliko NSSF. Lakini kwa hila kabisa akatumia kipengele cha kodi ya nyumba na kuwqaongezea mishahara staff aloikuja nao kutoka PPF, kisha wakaingia mikataba na mabenk chap chap wakaikopea nyongeza ile yote hii mantiki yake ni kukwepa hoja za CAG iwapo wangekopeshana kupitia mikopo ya shirika na vile vile kujilipa in advance in case of anything. Jamaa ni mjanja sana yeye na watu wake.

4. Dhuluma kwenye makato ya wafanyakazi.

Ndani ya NSSF kuna mpango wa uchangiaji wa wanachama wa NSSF-Hiari kwa wafanyakazi ambapo mwajiri anachangia 10% na mfanyakazi anakatwa 10%.

Mpango huu haupo NSSF peke yake bali mashirika mengi yana mpango kama huu kwa namna tofauti hata PPF walikuwa nao na walilipana mafao mifuko ilipounganishwa.

Mwezi Desemba 2018 mkurugenzi mkuu alisitisha kuchangia 10% yake bila taarifa yoyote huku akiendelea kuwakata wafanyakazi mpaka hivi leo licha ya wafanyakazi wengi kuandika barua kuomba makato hayo yasitishwe.

Mwezi Desemba 2019 mkuu huyu aliitisha baraza la majadiliano na kuwafahamisha kuwa alisitisha makato kutokana na agizo lako ulilotoa ulipokutana na viongozi wa mifuko mwezi Desemba, 2018 hivyo amekuja na mpango mpya ambao itabidi michango yote iliyokokwisha changiwa NSSF kiasi cha bilioni 23 kitolewe na uanzishwe mfuko binafsi wa wafanyakazi utakao kuwa na bodi yake na uongozi wake utakaojumuisha na wafanyakazi waliohamia.

Wawakilishi wa wafanyakazi walijua huu ni mchezo mchafu aina ya DESI, hivyo wakaugomea mpango huo na ikakubaliwa kuwa makato kwa wafanyakazi yasitishwe kuanzia mwezi Desemba, 2019.

Na michango iliyopo iendelee kubaki NSSF, Cha kushangaza makato yanaendelea mpaka sasa na hatujui kimsingi mkuu anahitaji nini hasa.

Mheshiwa Rais, tunaomba uingilie kati, kwani tunakufahamu na wewe ni msema kweli na mtetezi wa wanyonge.

Mungu akubariki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine wa 8/1/2020 kaja kwa lengo la kumtetea, nadhani wengi ndo wale wanaosemwa wanapewa upendeleo

Back
Top Bottom