Rich dad poor dad na The millionaire next door ni vitabu vinavyodadavua kwa upana kuhusu mada hiyo, ukweli ni kwamba watu wengi wanafikiri kuwa katika mfumo unaowapa pesa nyingi kiasi cha kununua vitu vya thamani ni utajiri
Wengi wetu tunapenda kununua vitu vinavyo onyesha characteristics of...
Nimeona niseme kwamba this is the best comment ever,
According to Robert Kiyosaki
Kuna vyanzo vinne vya kipato
1 kuajiriwa
2 kujiajiri -eg fundi, mjasiriamali, kinyozi, daktari anayehudumia watu nyumbani kwao, mwalimu wa twishen, daktari mwenye dispensary, bodaboda, mwanamichezo, msanii...
Baba kama wewe kwenu masasi na mama kwao dodoma mlikutania wapi?
Wewe na mama mlipendana mkiwa wakubwa au mkiwa wadogo?
Hii ni joke
_baba nataka nimuoe bibi
Baba akajibu haiwezekani kwasababunyule ni mama yangu,.Mbona wewe umemuoa mama yangu sijalalamika?
Ni sawa , maandiko hayaelezi sana kuhusu maisha private ya manabii na mitume na ukumbuke vitu vingi vimepunguzwa ili kutimiza malengo, bibliq sio historia ya maisha ya watu fulani bali ni mtiririko wa matukio ya mpango wa Mungu kuhusu wokovu wetu sisi wanadamu,
Kama Yesu alialikwa kwenye ndoa...
Ni ujinga kumacha msichana anayefaa kuwa mama watoto kisa alilala na mwanaume mwingine kwq bahati mbaya.
Halafu wewe kwa miaka.yote hiyo hujakutana na msichana?
Pia hakuna uchumba wa miaka 5 uchumba ni miezi 6 tu huko kwingine ni kutafutana hila tu,
Ukimpenda binti mchumbie fanya mipango ya ndoa...
Fidiq, fine haya maneno hayamake sense kwako?
Kama umefanya kosa ukakamatwa anatakiwa mtu ambaye hana makosa ili aje akulipie fidia utoke, wewe huwezi kujitoa mwenyewe,
Lakini hapo zamani kulikuwa na utaratibu kila mwaka anachinjwa mnyama damunyake inatumika kufuta dhambi kwa mwaka, Yesu kafa...
Ndugu unaharaka sana miaka 3 umehangaika namna hiyo? Wewe kama ni mkristo rud church ongea na kiongozi tubu kwanza dhambi ya kwenda kwawaganga then muachieni Mungu afanya anavyotaka mtoto ni zawadi huwezi kupush namna hiyo pia hata kama uchawi upo ukiwa mtu wa ibada hauwezi kuwadhuru hata kama...
Mtoa mada kwa biashara mpya hutakiwi kumaliza hela zote kwasababu stock ya kwanza utanunua kwamujibu wa mahewabu yako lakini stock zinazofuata utanunua kwamujubu wa oda,
Kwa mfano unauza vocha za jumla ukawanya sawasawa lakini katika mauzo ukagundua vocha za yas na voda ndio zinatoka zaidi...
Tupia picha kututamanisha, wife anaduka anatamani aondeze vipodozi fulani kwaajili ya visista du na vibrothermen vya mtaani lakini tukifikiria mtaji kila siku tunasema ngoja kwanza
Wakati mwingine hata akikunyima tendo lalamika na jifanye kuwa umeumia sana ili ajie kama na hiyo ndio silaha yake afadhali upigwe na silaha ambayo haiumizi lakini wewe lia kwa maigizo kuliko kumcheka na kumwambia haiumii...atatafuta silaha nzitona kukuua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.