Recent content by mpenda aman

  1. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Msaada:kwa anae ifahamu SANGU HIGH SCHOOL

    IPO vizur kwa upande wa arts science wameanza ila bado hawajatoa product
  2. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania MBOZI: Mzee auawa na kuchunwa ngozi

    Jamani nyumbani kwanini lakini???
  3. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania MBOZI: Mzee auawa na kuchunwa ngozi

    Jamani nyumbani kwanini hivyo
  4. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sifa za kujiunga diploma in teacher education

    Diploma IPI ya secondary au ya msingi
  5. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Walimu wa secondary kwenda msingi serikali inakwepa nini

    Duuuuuh hatari
  6. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kutumia division kwa matokeo ya kidato cha pili si upimaji sahihi

    Hiyo ndo faida ya elimu bure bwana matunda yataonekana baadaye
  7. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Aggrey teachers college

    Kwanini mkuu
  8. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Aggrey teachers college

    Asanten wakuu VIP kuhusu taaluma
  9. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Aggrey teachers college

    Kwa anayekifaham chuo cha aggrey vizur kuhusu taaluma ya ualimu secondary na mazingira kiujumla
  10. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia mtihani wanaojua haya mambo wanijuze

    Inawezekana MKUU kurudia ila PGA msuli wa nguvu private candidate huwa haimuachi MTU salama ,note ukirudia masomo kuanzia saba utakuwa umeua connection ya matokeo ya awali
  11. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Msaada vyuo vingine vya ualimu kwa masomo ya sayansi na hisabati tofauti na hivi

    Sifa ninazo ila awamu ya kwanza nilitemwa na saiz kuomba tena naambiwa system running for selection
  12. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania Msaada vyuo vingine vya ualimu kwa masomo ya sayansi na hisabati tofauti na hivi

    Habari wakuu samahani kama kuna mtu anayevifahamu vyuo vya ualimu secondary kwa masomo ya sayansi na hisabati ukiachana na Monduli, Kleruu, Korogwe, Kasulu na Dakawa .Kama vipo vingne naomba mnitajie .Naomben jamani please
  13. mpenda aman

    JamiiForums Tanzania NACTE rekebisheni mfumo wenu wanafunzi tuweze kuomba vyuo

    Wanaumiza hawa nacte daah
Back
Top Bottom