Msaada vyuo vingine vya ualimu kwa masomo ya sayansi na hisabati tofauti na hivi

mpenda aman

Member
Sep 20, 2017
16
1
Habari wakuu samahani kama kuna mtu anayevifahamu vyuo vya ualimu secondary kwa masomo ya sayansi na hisabati ukiachana na Monduli, Kleruu, Korogwe, Kasulu na Dakawa .Kama vipo vingne naomba mnitajie .Naomben jamani please
 
Hbr wakuu samahani kama kuna MTU anayevifahamu vyuo vya ualimu secondary kwa masomo ya sayans na hisabati ukiachana na monduli,kleruu,korogwe,kasulu na dakawa .kama vpo vingne naomba mnitajie .naomben jaman please
nenda website ya nacte kadowload guidebook yao utazikuta.kwanini usiapply hizo au huna sifa
 
Back
Top Bottom