Recent content by Mpella

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani amsimulie Rais Samia namna madini yanavyotoroshwa nchini?

    Kwa mujibu wa mkulu wetu, ufisadi na wizi haujawahi kuwepo awamu hii Nyinyi acheni kisingizia bhana! Mnaona Watu wamebeba mawe ya kuogea nanyi mwasema Ni madini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwaaminisha watu kuwa awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi kutakumaliza kisiasa

    Baada kufa aliyekuwa ssbb ya Mimi kuwa upande wao, Sasa naombea Jambo moja tu. CCM kufaaaaa!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Rais ni Taasisi lakini inaongozwa na mtu hivyo tunamshukuru hayati Magufuli kwa miradi mingi aliyotuachia, Mungu amlaze peponi!

    Tanzania nimeishi kwenye tawala za maraisi watatu na Huyu Ni wa nne nikiwa na akili timamu mpaka Sasa, ila Rais kama Rais, Ni mmoja tu, Dr JPM hayati! Wengine wapendeni nyinyi na miwafagilie nyinyi labda huwenda Ni ndugu zenu Karibuni Iringa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Ukweli uupinge kwa matusi??? Jinga wewe!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Fikicha macho uondoe tongotongo wewe kibwengwo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

    Ukiwa na wabaya 1m halafu ukawa na wema 50elf, Basi jichunguze Kwa hiyo wewe Unadhani yeye ananuksi siyo? Au unataka kulazimisha wote tupende upuuzi was kurudishwa kwenye majenereta siyo? Au wewe ndo kamba? Jinga kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

    Polepole afanye manjonjo ili awe harakaharaka sasa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

    Neno kwa Sasa, haliunganishi kilichosemwa majuzi Chato iko palepale
  9. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

    Huwezi kuzima mjadara na makosa yaliyopo Leo kwa kusema wasiokuwepo ukidhani Watu watanyaza na kuogopa eti atasemwa Marehemu, Ni ushamba na ujinga kuendelea kusema wafu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete: Sikubaliani na suala la mtoto aliyepata ujauzito kurudi shule

    Maelezo ya kwa Nini warudi shule na au wasirudi, bado hakuna mwenye logic! Kurudi shule Ni kuhamasisha mapenzi shuleni Kutorudi shule, Ni kuwanyima haki yao ya msingi, Lipi Bora!
  11. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

    Umekaa kishamba mno mkuu, Unadhani hizi shombo zitawafanya Watu wasiandike kinachoendelea?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

    Kivyovyote tuu, haikubaliki mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

    Sikubaliani na uonevu wowote kwa wapinzani, ila ni upumbavu mkubwa kwa Taifa moja kuingilia uhuru wa Taifa lingine
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Nayaamuru majeshi yote na Takukuru kumkamata Gwajiboy Ndo yaleyaleee! Yeye Ni nani? Yeye ndo mwajiri wetu?
Back
Top Bottom