Recent content by MPBA halisi

  1. MPBA halisi

    Mbowe: Hadi sasa zaidi ya Sh. Milioni 100 zimeshatumika kumtibia Lissu. Dereva anaendelea na huduma ya kisaikolojia...

    Nipeni account nimwage madola. Kwa ajili ya mzalendo huyu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. MPBA halisi

    Mbowe: Hadi sasa zaidi ya Sh. Milioni 100 zimeshatumika kumtibia Lissu. Dereva anaendelea na huduma ya kisaikolojia...

    Chadema nipeni njia yakumchangia kamanda Lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MPBA halisi

    Hatimaye Tundu Lissu ameweza kuongea akiwa Hospitalini; '"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"

    Nakuombea saaana kamanda Lisu. Damu yako iliyomwagika itakua ni chachu yakuikomboa Tz., inayotawaliwa na Wakoloni weusi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MPBA halisi

    Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    Naona wewe niwale wale wauwaji wasiojulikana. Mushindwe namulegee.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MPBA halisi

    TAHADHARI: Angalizo kwa wanaoingia na magari Uwanja wa Ndege wa Dar(JNIA)

    Duuh.. sawa mkuu. Najua twalipa deni la kuikomboa Bombadier Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MPBA halisi

    Wanaume ondoeni vitambi vinatukera sana wanawake

    Basi wangu anambia nikitaka anihepe, nitoe kitambi. Kitambi chasiri maisha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MPBA halisi

    Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

    Sio mara 15 kiongozi, mara 21 ndiio upate zamadafu. Manake change iko 1000 kwa 21000 zamadafu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MPBA halisi

    Jenerali Ulimwengu: Itachukua miaka 40 Demokrasia ya Tanzania kuifikia ile ya Kenya

    Salute kwako mr. Mkiki. Yaani nikiyaona yanayoendelea Kenya, najichukia kua Mtz Sent using Jamii Forums mobile app
  9. MPBA halisi

    Kwa nini Watanzania Tunahusudu mambo ya Kenya kuliko nchi nyingine EA

    Siasa zaubabe, na mahakama kufuata maagizo ya mtawala, nikawaida kwa tz. Kenya iko tofauti sana na nchi nyingi za afrrica Sent using Jamii Forums mobile app
  10. MPBA halisi

    Uchaguzi wa Rais Tanzania upingwe Mahakamani kama sheria na taratibu zitakiukwa!!

    Thubutuuuu.. Kenya wako mbele sana kidemokrasia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. MPBA halisi

    Mawakili wampuuza Lissu, waendelea na kazi kama kawaida

    Naona wakosa chakuwasilisha sasa. Mpuuzi ni Lissu, au wanaovunja mikataba kwa ubabe? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MPBA halisi

    Hivi Jerry Muro wasingekuwa mawakili na kesi yake ya Rushwa Bagamoyo si angekuwa jela kama sio hao waliomtetea?

    Wakuu huyu Jerry Muro, hayuko kwenye uvccm? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. MPBA halisi

    Mahakama zetu zinaweza kujifunza kutoka Kenya?

    Subutuuu,,, Kenya mahakama iko tofauti kabisa na Kibongobongo. Huku CJ hateuliwi na raisi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. MPBA halisi

    Jakaya Kikwete: Wanasiasa wa Upinzani wasichukuliwe na Serikali kuwa ni Maadui

    Kwani huyu mzee wa Msoga, hawezi kumwambia livee huyu mdingi wa Chato? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. MPBA halisi

    Wananchi tusipopaza sauti zetu kwa nguvu zetu zote hakika Taifa letu linakwenda kuangamia!

    Sasa kwenye ukweli kama huu, njaa imetoka wapi? Ila time will come. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom