morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,519
- 1,851
duuh usitukatishe tamaa aiseelabda tuazime majaji kutoka kenya
duuh usitukatishe tamaa aiseelabda tuazime majaji kutoka kenya
Thanks lakini Rais wa awamu ya Tano amesema katiba mpya siyo kipaumbele chake...hapo tunafanyaje!?!mimi ni mwanaccm lakini ni muumini wa katiba mpya ya mhe.warioba.
swala unaliongelea mtoa mada ni gumu kufanyika bila katiba mpya,katiba mpya ndo kila kitu haya ya kenya yameweza kufanyika kutokana na katiba mpya waliyoipigania.
Hawa viongozi Wa Africa wengi bure kabisa anaongea utafikiri nchi ni urithi Wa babakeKama rafiki wa Ngosha yuko bold enough kuongea haya mbele ya media.....jiulize pia kwann hadi leo hajamteua jaji mkuu
Usingizi wa watanzania ndo raha ya watawala, walo amka wazidi kuamsha wenzao japo watakumbana na vikwazo vya CCM na serikali yakeWatanzania wafanye nini Sasa...naona kama watanzania wako mbali sana na kujua au kupigania Haki zao. Wao ni ndiyo Mzee shida iko wapi?
awamu iliyopita ndio alitakiwa kulimaliza hili kabla awamu mpya haijaingia,lakini kutokana na kuweka maslahi ya chama chetu mbele leo ndomana tumekosa hiyo katiba...cha msingi ni kusubiriThanks lakini Rais wa awamu ya Tano amesema katiba mpya siyo kipaumbele chake...hapo tunafanyaje!?!