Recent content by Mpare wa Gonja

  1. M

    How does WhatsApp Make Money?

    Ninacho fahamu ni mwendo wa kujilipa kupitia mabando wanayo tuibia,ndio maana wako makini kutuibia data pindi unapo jisahau kuongeza bando kabla ya kujiunga utakuta dk chache tu data inasoma sifuri.
  2. M

    HESLB kukata 15% ktk Mishahara ya wanufaika: Sheria haiwezi kutumika retrospectively

    KIPAOMBELE NAMBA MOJA,ELIMU.......NAMBA MBILI........ELIMU......NAMBA TATU.......ELIMU,TENA BURE KUANZIA SHULE YA MSINGI MPAKA SEKONDARI......(WACHA NIKAUSIKILIZE ULE WIMBO WANGU PENDWA,....nili ipenda mwenywe ...ndindiii changuo langu mwenyewe...
  3. M

    Serikali yaweka pingamizi mahakamani juu ya waajiriwa wapya 3000 iliyowafukuza kazi June 2016

    wewe,uliyeisoma imekusaidi nini?au umewasaidia nini?nakama unajua kwamba ni kichwa changu ndicho kilicho waza unawashwa na nini?hayaaaaa,upesi kasugue meno ukanywe chai ya shikamoo kwa shemeji yako aliye kuolea dada yako.
  4. M

    Serikali yaweka pingamizi mahakamani juu ya waajiriwa wapya 3000 iliyowafukuza kazi June 2016

    kwani walisha maliza kipindi cha miezi 6,ya uangalizi(probation period)?kama hii kesi wameifungu baada ya hicho kipindi kwisha,kuna kitu watafuna ila kama ni kabla ya hicho kipindi kuna kitu watapoteza.nimtazamo wangu tu.
  5. M

    Sakata la wabunge CCM kuhongwa: Katibu wa Wabunge CCM anena mazito

    RUSHWA NI YAI ...CCCM NI KUKU ...HIVI YAI HUWA LINATOKAGA WAPI ?
  6. M

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    WAKATI MWINGINE MTU UKIJIBU SHIDA,USIPO JIBU SHIDA SIJUI LIPI JEMA BANDUNGU?
  7. M

    Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

    Hii kesi ikisha isha itabidi tutengeneze filamu,hope itauza sana
  8. M

    Nimewakuta wanajipanga!!!

    Tuliyata wenyeweeeeeee tuliyazua wenyeweeeeee tukayakoroga wenyewee wacha tuisomeee nambaeeeeee (nakapendaga haka kawimbo japo nimekahariri kidogo)
  9. M

    Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    kule ni mbeya sec,hawa je wa viroba na mmea ni wa shule gani?
  10. M

    Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    KIOOO,HAKIDANGANYI,UMEJIPODOA UMEPODOKA...EHEEEEE,....TUKIMBIZANENINI WEEE,CAF....YANGUUUUU
  11. M

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Tuliwatuma WABUNGE,kwenda kutusemea na kutetea haki zetu,kwa maana katika wingi wetu hatuwezi sote kuingia bungeni kujitetea,sasa kama huo mswada wa hiyo sheria ya FAO LA KUJITOA,mtakubali kuipitisha,wakati nyinyi kila baada ya miaka mitano mnalipwa hela yenu yote(fao la kujitoa),hakika...
  12. M

    kwenu wote mliopata dhamana ya kutuongoza

    Habari, Nawaandikia nyie nyote mliopata dhamana ya kuteuliwa kutuongoza katika teuzi kuanzia Ukuu wa Mikoa,Ukuu wa Wilaya hata nyie Wakurugenzi wa Majiji,Halimashauri za Miji n.k. Nawaandikia Mwendemkasome Kitabu kiitwayo FUNGATE LA UHURU,tena niwakumbushe wakati nyinyi mkisoma hicho kitabu cha...
  13. M

    Polepole alikataa kuwa DC sasa auvalia suti

    NILWAHI KUSOMA KWENYE BIBLIA KWAMBA NJAA ILIPOMZIDI ESAU ALIUZA UKUBWA WAKE KWA MDOGO WAKE YAKOBO....(KWAHAKIKA HII HADITHI INAFUNZO KUBWA SANA)
  14. M

    JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

    NCHI YA MAAJABU SABA YA DUNIA
Back
Top Bottom