Jibu ni raisi tu,ni mali ya ccm,hapa hatuzungumzii propaganda,wanamiliki kisheria,na siku zote sheria haikisubiri chama fulani kingie madarakani ndio sheri ifanye kazi yake hilo halipo,msiwe na mawazo ya kipropaganda hata kwenye mambo ya msingi,unapomzungumzia rasilimali,mfano majengo au...