Je, hizi ni mali halali za CCM?

Je, hizi ni mali halali za CCM?

Ni hivi , zaidi ya kadi , bendera na sare zao hakuna kingine chochote ambacho kinamilikiwa na ccm nchi hii , hii kitu imejadiliwa sana humu mkuu , sema hukumbuki tu , natoa wito kwa serikali mpya ya Ukawa kurejesha mali zote za umma mikononi mwa wananchi tena haraka sana .
 
Jibu ni rahisi. Viwanja hivyo vilijengwa kutokana na michango iliyotolewa na wananchi wote. Hivyo si halali kwa CCM kuvibinafsisha. Ukawa ikiingia madarakani viwanja hivyo virudishwe TFF au vikabidhiwe kwa Jiji/Manispaa/Halmashauri husika. Kwa mfano Kirumba stadium ikabidhiwe kwa Mwanza City Council. Hivyo ndivyo walivyofanya NARC huko Kenya pale waliporudisha jengo la KICC ambalo lilikuwa limetekwa na KANU. Lilirudishwa serikalini haraka sana.
 
Jibu ni raisi tu,ni mali ya ccm,hapa hatuzungumzii propaganda,wanamiliki kisheria,na siku zote sheria haikisubiri chama fulani kingie madarakani ndio sheri ifanye kazi yake hilo halipo,msiwe na mawazo ya kipropaganda hata kwenye mambo ya msingi,unapomzungumzia rasilimali,mfano majengo au viwanja,kinachoangaliwa nani anamiliki hati hiyo kisheria,hati zote unazofdhani ni za ccm,wanamiliki kisheria na sio propaganda na sheria hiyo ilikuwapo kabla ya hata hiyo chadema yenu,fanyeni kaZi mjenge majengo yenu,kwani hiyo chadema haipati ruzuku,ccm wanajenga kitega uchumi dodoma,mbona hilo nalo hamsemi,jibuni hoja iliyoulizwa,sio kila swali jibu lake liwe la propaganda za siasa,angalieni sheria inasemaje,kama hamjui mbona wamaharakati wa sheria wakujitolea wapo,acheni mahaba ya kijinga,mmekuwa na mahaba mpaka mnapotexa ufahamu wenu mtafikiri hamkusoma,hapa kazi tu mahaba nenda chadema,ccm hoyeeeeeeeeer,magufuli ndio habari ya mjimi,nyinyi endeleeni kusafishana,ndio mambo tuliyoyakataaa,nadhani wengi hamkumuelewa nape kwa wakati ule aliposema hawatamchagua mtu mwenye kashfa za ufisadi gharama yake ndio hiyo,poleni sana,lakini mwalimu alisema kiongozi bora atatoka ccm,na lowasa alisema heri kuwa kiongozi wa dini kuliko kujiunga na upinzani tatizo hivi vyama vya upinzani havina mfumo,kweli nimeamini ni katiba ipi ya chadema iliyompitisha lowasa kugombea uraisi,sana mbowe alisema ameangalia maslai ya chama kwa mapana kama mlikuwa hamjui ndani ya katiba kuna kipengele cha maslai mapana,ndio maana wenye taaluma zao walijitoa katika ukawa( umuja wa wakosa ufahamu wa katiba za vyama vyao) wapi leo slaa,wapi leo, wapi leo lipumba,kweli majinga ndio wali wao wanafurahia kingunge mwenye miaka80 hasikitiki kuondoka kwa viongozi vijana wasomi,wapi zito,wapi kitila mkumbo,wapi slaa,wapi samsoni mwigamba,wapi profesa lipumba.poleni sana kwa kulazimisha kuwepo kwenye utumwa wa kifikra,leo manamuona mbowe kama nabii,kwe! Leo meaka 2015 kweli? Kweli namuunga mkono lowasa kwa slogani yake elimu,elimu,elimu,elimu,lakini amesahau watu wapo segerea ya fikra.magufuli hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom