Nyerere alitumia ujamaa kuondoa ukabila nchini aliona ubepari ungewanufaisha baadhi ya makabila na kutofautiana na Kambona aliyeona nchi ianze na ubepari Moja kwa moja.
Nyerere baada ya kuona nchi Ina umoja ndipo aliporidhia Tz kuingia katika uchumi wa kibepari
Changamoto ujamaa uliwekewa...
Mkuu nakukubalia pesa ya tajiri aliyoweka fixed account hunufaisha wakopaji waliokidhi vigezo.
Lakini pesa za matajiri wetu haziaminiki mfano mzuri ni wakati wa awamu ya 5
Matajiri walipoona mambo Yao hayaendi wanavyotaka wengi wakahamisha pesa kutoka mabenki ya Tanzania na kuhamishia pesa...
Nani alikudanganya kuwa unaweza pata mkopo benki sababu Kuna matajiri wameweka deposit zao ?
Mkopo mkopaji atapata kama anakidhi vigezo vya kukopesheka sio sababu eti benki kumejaa minoti ya vibopa ,kibopa akiweka Hela yake benki ni zake hazimhusu mtu yeyote ,benki husika tU ndio inanufaika na...
Anapotukana vijana hawana kazi eti wanakaa vijiweni anawalisha yeye ,kila mwaka wahitimu zaidi ya laki 3 wanaingia kitaa kusaka ajira ana huo uwezo wa kuwasaidia kupata ajira au kuwapa mitaji ya biashara kwa huo utajiri wake wa 20b tsh ?
Bakhresa Kila ijumaa anagawa pesa kwa maskini misikitini...
Tupo kwenye uchumi wa kibepari ( soko huria) yeye na ma Tycoon wenzake mfumo wa soko huria unawabeba ,tunachohitaji walipe Kodi tu, kuwasamehe Kodi hawa tycoons na TRA kukomalia Kodi wachuuzi sio fair ,inasababisha mwenye nacho anapata zaidi na asiyekuwa nacho hata hicho kidogo alichonacho...
nashukuru kwa mchanganuo
nikiwahi fundishwa kanisani kwamba mtu akifa roho(90% kwa maelezo Yako) hurudi kwa muumba ,nafsi(9%) ndio Ina rekodi ya matendo ya mtu na mwili (1%) ndio huonja mauti
hapo Bado Nina maswali mawili;
1.swali langu la msingi kitafufuliwa kipi kati ya hivyo vitatu...
wakuu hebu nisaidieni
wakristo huamini wafu watakuja kufufuliwa siku ya hukumu ,sasa vipi kwa hao wanaochomwa moto kuwa majivu watafufuliwaje kwa mfano?
change za mia 200,100 na shs 50 zimeenda wapi ?
mwanzoni vituo vyenu vilijaa coins kibao sasa hivi karibia vituo vyote havina change za coins ,mnashindwa hata na madalala ,konda wa daladala atahakikisha kwa namna yoyote lazima atafute na kutoa change lakini kwenu mwendokasi kwa wasafiri wasio...
Nenda kachague kozi pale veta ukiwa bado kijana katika huo umri wako na ujawa na majukumu ya mke wa la watoto,shawishi wazazi wako wakulipie ada kozi ya chaguo lako pale veta kama msaada wao kwako wa mwisho kabla hujaanza kujitegemea
maisha ya sasa yanahitaji kuwa na angalau ujuzi Fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.