Recent content by Mpangalala

  1. M

    Rais Magufuli anangoja nini kumtumbua RC Makonda?

    Viwekwe vyeti hadharani, photocopy . hiyo ya gwajima na kampuni yake kwamba ana avidence basi atoe, aache kusemea juu juu, akibanwa gwajima , Atasema hamkunielewa, . fanyeni mengine tu. Makonda kateuliwa hakuomba kazi, alieomba ndio anaulizwa vyeti,
  2. M

    TRA yamwita Mbowe mahakamani kisa hakutumia mashine ya EFD Club ya Bilcanas

    Hebu jamani, vitu vingine tuache siasa, ye mbowe ni kiongozi , na kiongozi unatakiwa uwe saafi, sasa kila tukio unatajika, unga katajika, kodi katajwa. Kiongozi lazima uwe saafi, mbona hatajwi zito kabwe, na zito ni zaidi ya mbowe, mbona hatajwi lisu, na lisu ni zaidi ya mbowe, pengine huyu...
  3. M

    CHADEMA na UKAWA wataanguka vibaya sana 2020 tofauti na awamu zilizopita

    I've Mara ngapi? Sipo kumebaki viongoxi tu
  4. M

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Mange ni nanani?
  5. M

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Alete vyeti, kwani kaanzisha haya mas Halafu. Alieanzisha atoe vielelezo
  6. M

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Tusubiri nini? To a ushahidi tumshitaki, acha maneno weka ushahidi
  7. M

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Nimeipenda saaana, mange mange. Wajinga saaana, watu hawtumii akili zao kutafuta mambo. Wanakaliaaaa mange mange. Ni kanani hako kamange?
  8. M

    RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Na nyie mnaosema ana zero simuonyeshe photocopy tu, kulko kuvizia yey alete vyeti. Yeye hakuanzisha. Alieanzisha alete photocopy tujiridhishe
  9. M

    Kinjekitile Ngombale Mwiru: Haiingii akilini kila mwenye tuhuma na kashfa akimbilie upinzani

    Hivi mange mange, eh tumia akili yako kutafuta jambo
  10. M

    Kinjekitile Ngombale Mwiru: Haiingii akilini kila mwenye tuhuma na kashfa akimbilie upinzani

    Mbona mange mnathamini saaana, ma ni kitu gani, ye ni Nani, fuatilieni wenyewe sio mange mange, ni MTU ni mtu
  11. M

    Ili kuwa Mkuu wa Mkoa unahitaji elimu gani?

    Kamakonda kanawasumbua saaana, hamkawezi kale, kamekaa pembeni kananawacheki tu , mnaongeaaaa muda unaenda, na salary kanapata, na majukumu ya vyeti mnavyosema hakijaonyeshwa hata photocopy yake, ushahidi wa kitu uuonekane, sio kusemasema tu amefoji, toeni ushahidi, acheni maneno. Na cheo cha...
  12. M

    Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    IPO vizuri hiyo. Gazeti linamshambulia utafikiri makonda anatetea mtoto wake? Hii ya makonda ni serikali. Sio yeye. Ye anatimiza wajibu tu.
  13. M

    Bila ya Nyerere Tanzania ingekuwa inatawaliwa na Sharia

    Allah ndio mwamuzi we huwezi kufahamu aliyonayo allah
Back
Top Bottom