Ili kuwa Mkuu wa Mkoa unahitaji elimu gani?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Wakuu hebu tuelimishane, ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kiwango gani?​
 
inshu ni kufoji vyeti sio elimu mkuu

elimu hata angekua advance level lakini awe ana vyeti vilivyo perfect sio vya kuunga unga kama vya bashite
 
Kiwango chochote cha elimu dunia ambayo haijaambatana na kughushi kwa vyeti!! Remember, mtu akigushi cheti cha elimu atakuwa ameghushi na cheti cha kuzaliwa vile vile!!!
 
Kamakonda kanawasumbua saaana, hamkawezi kale, kamekaa pembeni kananawacheki tu , mnaongeaaaa muda unaenda, na salary kanapata, na majukumu ya vyeti mnavyosema hakijaonyeshwa hata photocopy yake, ushahidi wa kitu uuonekane, sio kusemasema tu amefoji, toeni ushahidi, acheni maneno. Na cheo cha mkuu wa mkoa sio cha kuomba, ni kuteuliewa, mlaumuni aliemteua akaacha kuangalia vyeti, yeye hakuomba kazi, hiyo. Yeye katajwa na kuombwa kufanya kazi hiyo, sasa Nani alikuambia aliambiwa alete cheti cha. Form four, ? Ebaba eh huyu jamaa ni mchapa kazi tu, we acha mambo ya cheti, ukiona utufurahishe tulete photocopy tujiridhishe ili tuanze kumjaji makonda, kaacheni kadogo kapumzike, MAKONDA OYEEE
 
Mkuu jingalao dhumuni la kuanzisha huu Uzi tunalijua. Ila mkuu elewa tu kuwa hatuhoji Elimu ya bwana anayejiita PCM...tunachogombana naye ni hii tuhuma inayomkabili juu ya kununua cheti cha form 4 ili ajiendeleze kielimu baada ya yeye kuzungusha.

Kwa hyo kwa vile mnadongana sana kwenye viunga vya Lumumba tafadhali mshauri atoke aje aweke recodi sawa.
 
Kamakonda kanawasumbua saaana, hamkawezi kale, kamekaa pembeni kananawacheki tu , mnaongeaaaa muda unaenda, na salary kanapata, na majukumu ya vyeti mnavyosema hakijaonyeshwa hata photocopy yake, ushahidi wa kitu uuonekane, sio kusemasema tu amefoji, toeni ushahidi, acheni maneno. Na cheo cha mkuu wa mkoa sio cha kuomba, ni kuteuliewa, mlaumuni aliemteua akaacha kuangalia vyeti, yeye hakuomba kazi, hiyo. Yeye katajwa na kuombwa kufanya kazi hiyo, sasa Nani alikuambia aliambiwa alete cheti cha. Form four, ? Ebaba eh huyu jamaa ni mchapa kazi tu, we acha mambo ya cheti, ukiona utufurahishe tulete photocopy tujiridhishe ili tuanze kumjaji makonda, kaacheni kadogo kapumzike, MAKONDA OYEEE

Oyeeeeee Oyeeee

Nimependa uliyoyaandika.
 
Back
Top Bottom