Recent content by mpanda abraham

  1. M

    JamiiForums Tanzania Niliogopa kuangalia mechi ya The Gunners

    Nimeipenda sana sub ya walcot kwani giroud walikuja kubadilisha mfumo na tukaanza kupiga mipira mirefu na Munich ikawashinda kucheza vizuri.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa za walioandikishwa RaisKikwete unatuchanganya!

    Bao La mkono hilo limeanza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    Kajilipia mwenyewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania BASATA yaonya wanaotumia vibaya mitandao

    Ya shemeji shilole vp?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katibu mwenezi wa CCM wilaya ya Lindi asababisha ajali ya makusudi

    Hawa magamba wamelewa madaraka na ndio maana kila kitu kwao ni ubabe tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Njaa mbaya sana kwani unaweza kuisaliti hata familia yako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

    Ukawa ndio habari ya mjini, magamba imetosha nendeni na nyinyi mkakate msitu mlime mashamba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Ulutheri na Urais - Lowassa

    Bora lowassa kuliko lipumba aliekwenda misikitini na kutangaza udini waziwazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mm nimeshatafakari na nikapata jibu kuwa huyu mzee ameingizwa kwenye kitengo cha propaganda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hana jipya kwani tangu mwanzo tulishamjua sio mwenzetu na kamwe haturudi nyuma
  11. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nyinyi mnapoteza muda wenu huyo dogo polepole ameshakula mshiko wake na ni lazima aendelee kupayukapayuka hovyo, kwanza lazima tujiulize yy anadai ni mtanzania maskini sasa hizo pesa za kuzunguka nchi mzima kumchafua lowassa amezipata wapi?, na kama hajanunuliwa huyo dogo, yeye amuulize...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Kampeni za ukawa zinaanza leo na mafisadi wa richmond watajulikana tu muda sio mrefu
Back
Top Bottom