Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

Akileta ushahidi hapa naipa ccm kura
Ushahidi wa kitu gani? Wakati mmoja lissu kwa mdomo wake huo mpana alishawahi kutamka kwamba yeye alikuwa mmoja wa walioiandaa ile list of shame iliyosomwa pale mwembeyanga. Kama alishiriki kuiaandaa maana yake alitumia ueledi wake wote na akajiridhisha bila shaka kwamba list ile ilikuwa ni ya kweli tupu. Kama leo bila aibu na kwa kutumia mdomo wake huo huo anasimama na kutaka kutuaminisha kwamba lowasa ni safi basi tunakuwa na ueledi wake. Sisi watazamaji wala hatuna haja ya kuthibitisha kama lowasa ni mwizi ama la. Yeye lisu ndiyo ajiulize kama zinamtosha au pengine atuhakikishe kwamba sheria ni upuuzi. Lakini pengine wengi wamekuwa wakim-over rank lisu kwa kufikiria kwamba ni genious mkubwa. Tulikuwa course tofauti tulipoingia ud mwaka 1991 na bahati mbaya kulitokea mgomo mapema sana kabla hata ya term ya kwanza kuisha lakini lisu alikuwa mmoja wa fresher waliokuwa kimbelembele kisicho mfano. Alipenda kuchagia kila kitu awe anakijua ama la na muda wote alipenda kufanya reference za kisheria wakati hata term moja alikuwa hajamaliza na mind you alikuwa ni direct kutoka galanosi tanga. Lisu ni mjinga mkubwa na huwa hana aibu ya kuongea lolote hata kama ni la kipuuzi vipi na yuko tayari kubadirisha msimamo na kwenda hovyo ili mradi anahisi atapata popularity. Mara nyingi wakati tukiwa chuoni kwenye kikao chochote alikuwa hawezi kumaliza kile alichokuwa akichangia. Kama mchango wake ulitakiwa kuwa wa dk 10, lisu angeweza kuongea vizuri kwa dk zisizozidi 5 na baada ya hapo angeanza kufuka na kwa kila wakati alikatizwa kuendelea na hatuba yake. Kwa wenye uwezo wa kuona mambo kwa weledi nawaombeni mumfuatilea ili kuona ukweli katika hili. Si vyema sana kuzungumzia afya ya mtu lakini mie nafikiri lowasa ni mzima zaidi kuliko lisu. Mfano, lowasa wala hajishughulishi sana kuongelea usafi wake kwa sababu anajua si rahisi akaeleweka kwa yeyote. Lakini lisu haoni aibu kufungua domo lake pana kuongelea mambo ya kipuuzi ambayo hapo awali alishawaaminisha watu kwamba yalikuwa ya ukweli.
 
Wewe Ukikosa elimu usiwashambulie waliosoma na kuelewa bila hoja za msingi..upuuzi huu ulioandika ndio tupime uwezo wako na Lissu kweli..
 
Mugisher

Ulishawahi kuona kesi isiyoruhusiwa wakili kuisimamia? wakili anatetea uadilifu wa mtu au anashughuliakia mambo ya kisheria katika kesi inayomhusu mteja ili aweze kutoa shauri?

Wewe mleta mada weka ushahidi wako hapa kumhusu Lowasa ili tuanze kuuchambua kama kulungana na ushahidi ana kosa au laa.

Halafu pia usimwangalie Lowasa tu na kuacha kuangalia mamia kama sii maelfu ya mafisadi yaliyobaki ndani ya ccm na bado eti yanafikiri kuondoka kwa Lowasa ndiko kuliko yatakasa.
.
Braza!! hatuna haja na mafisadi wengine wote walioko ccm, cuf, chadema na kwingineko ili mradi hawahitaji kuwa wakubwa zetu. Acha tu waibe kwa wizi wa kawaida LAKINI si fisi kumkabidhi bucha huku tukijua kwamba huyo ni fisi. Hawa mafisadi wengine kokote walipo tutajitahidi kufunga bucha letu vizuri na ama kuweka mlinzi. Ni tofauti na huyu fisi anayetaka tumkabidhi funguo za bucha na mind you akishapewa funguo hakuna mwenye uwezo wa kumnyang'anya hadi baada ya miaka 10. Mungu tufumbue macho wana wa nchi.
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kujibu maana uchumia tumbo ndio umemtawala
Alipewa option ya kujipima na kuona kama bado alistahili kuendelea kushikilia ofisi ama vinginevyo bunge lingechukua hatua na actually ndicho kilichomfanya ajiuzuru ili kuepusha bunge lisichukue hatua. Kwa kauli yake lowasa alitamka kwamba alijiuzuru ili kukiokoa chama chake na serikali. Angesema vipi haya kama hakungekuwa na tishio la kamati la kum-deal kama hatajipima?
 
Kwa kuwa umetanguliza tumbo ndio maana unakwepesha ukweli wa kuwa ccm ndio kichaka cha kuficha vibaka na majizi na wamejazana huko
 
Braza!! hatuna haja na mafisadi wengine wote walioko ccm, cuf, chadema na kwingineko ili mradi hawahitaji kuwa wakubwa zetu. Acha tu waibe kwa wizi wa kawaida LAKINI si fisi kumkabidhi bucha huku tukijua kwamba huyo ni fisi. Hawa mafisadi wengine kokote walipo tutajitahidi kufunga bucha letu vizuri na ama kuweka mlinzi. Ni tofauti na huyu fisi anayetaka tumkabidhi funguo za bucha na mind you akishapewa funguo hakuna mwenye uwezo wa kumnyang'anya hadi baada ya miaka 10. Mungu tufumbue macho wana wa nchi.

Wewe njaa ndio inayokusumbua maana unaelewa fika kuwa lowasa akiingia ikulu lazima awatie lupango majizi woote
 
Ushahidi wa kitu gani? Wakati mmoja lissu kwa mdomo wake huo mpana alishawahi kutamka kwamba yeye alikuwa mmoja wa walioiandaa ile list of shame iliyosomwa pale mwembeyanga. Kama alishiriki kuiaandaa maana yake alitumia ueledi wake wote na akajiridhisha bila shaka kwamba list ile ilikuwa ni ya kweli tupu. Kama leo bila aibu na kwa kutumia mdomo wake huo huo anasimama na kutaka kutuaminisha kwamba lowasa ni safi basi tunakuwa na ueledi wake. Sisi watazamaji wala hatuna haja ya kuthibitisha kama lowasa ni mwizi ama la. Yeye lisu ndiyo ajiulize kama zinamtosha au pengine atuhakikishe kwamba sheria ni upuuzi. Lakini pengine wengi wamekuwa wakim-over rank lisu kwa kufikiria kwamba ni genious mkubwa. Tulikuwa course tofauti tulipoingia ud mwaka 1991 na bahati mbaya kulitokea mgomo mapema sana kabla hata ya term ya kwanza kuisha lakini lisu alikuwa mmoja wa fresher waliokuwa kimbelembele kisicho mfano. Alipenda kuchagia kila kitu awe anakijua ama la na muda wote alipenda kufanya reference za kisheria wakati hata term moja alikuwa hajamaliza na mind you alikuwa ni direct kutoka galanosi tanga. Lisu ni mjinga mkubwa na huwa hana aibu ya kuongea lolote hata kama ni la kipuuzi vipi na yuko tayari kubadirisha msimamo na kwenda hovyo ili mradi anahisi atapata popularity. Mara nyingi wakati tukiwa chuoni kwenye kikao chochote alikuwa hawezi kumaliza kile alichokuwa akichangia. Kama mchango wake ulitakiwa kuwa wa dk 10, lisu angeweza kuongea vizuri kwa dk zisizozidi 5 na baada ya hapo angeanza kufuka na kwa kila wakati alikatizwa kuendelea na hatuba yake. Kwa wenye uwezo wa kuona mambo kwa weledi nawaombeni mumfuatilea ili kuona ukweli katika hili. Si vyema sana kuzungumzia afya ya mtu lakini mie nafikiri lowasa ni mzima zaidi kuliko lisu. Mfano, lowasa wala hajishughulishi sana kuongelea usafi wake kwa sababu anajua si rahisi akaeleweka kwa yeyote. Lakini lisu haoni aibu kufungua domo lake pana kuongelea mambo ya kipuuzi ambayo hapo awali alishawaaminisha watu kwamba yalikuwa ya ukweli.

Ngonjera nyingi ni za kitu gani?jiandaeni kisaikolojia maana lowasa anachukua hii dola na kuwatia adabu majizi woote
 
Wanasiasa siyo wakuwaamini, kama utashindwa kutumia akili yako kuwapinga always watakuburuza.
 
Mugishe

Kama wewe unakula kupitia CCM huwezi kumpenda Lissu hata dk 1
 
Last edited by a moderator:
Katika maisha yangu sijawah kumkubali Lissu, huwa naona kama analowesha mic tu. Fuatilia alivyokuwa anajichanganya katika masuala mbalimbali, wakati wa escrow na bungeni.

Pia anajiona anaweza huku ana weakness nyingi sana. Amefumbia macho ufisadi ndani ya chama, taratibu anashiriki kuzikiuka na kuziharibu, mtu akihoji anakaa kimya. Kama mwanasheria wa chama, hafai!

Mama Anna Makinda na werema wakikusikia watakuchoma kisu haki ya nani sio lazima kuponda kila kitu.vingine unapita kuleee
 
Siku akikataa kupelekeshwa na siasa za kichuuzi za Mbowe, vijana wa Bavicha wote watakuunga mkono kuwa Lissu hana thamani. Kipimo cha thamani Chadema ni Mbowe...
 
Back
Top Bottom