kisaka victpr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 657
- 116
Leo Dodoma,Rais Kikwete ameutangazia umma kuwa;Walioandikishwa katika daftari ni wapiga kura ml.28.Mwenyekiti wa Tume alituambia idadi ni ml.22 baada ya wengine kupunguzwa.Swali nani mkweli na nani mpotoshaji na kwanini.TUTAFAKARI.