Recent content by mpambanaji

  1. mpambanaji

    Mji Wa Dares-Salaam Mnamo Mwaka 2200 Utakapo kuwa upo hivi

    Inawezekana tuuu:shocked:
  2. mpambanaji

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Pamoja na yote, nimejiuliza sana; jinsi tulivyo wasanii wabongo tumeshindwa kutafuta mbinu za kufanya malori yetu yakawa na uraia wa nchi zaidi ya moja? Hii biashara ya plate number za TZ isingekuwepo tunapofika mipakani. Hapana bwana, wataalamu wa kuchakachua, hebu ingieni kazini!! hamuwezi...
  3. mpambanaji

    Temesa na Wananchi _ Kigamboni

    Jamani, kuna kitu hapa naona hakiko sawa. Hoja si tusilipe nauli wala si kutokukusanya mapato."Kwa mujibu wa Temesa, nauli za kivuko kwa watu wazima ni Sh200 na watoto hadi miaka 14 ni Sh50, huku wanafunzi wakipanda bure".:wave: Source; Mwananchi 27th Aug. 2013 Hili ndilo ninalotamani tupate...
  4. mpambanaji

    Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

    Nalipongeza kanisa katoliki kushiriki katika vita dhidi ya Madawa ya kulevya waziwazi. Pope majuzi ametutaka tuwe na nia thabiti, na hili lililofanyika linadhihirisha hiyo nia thabiti na ndilo tu litaweza kurekebisha taifa na dunia. Wote wenye taarifa hizi muhimu tuziweke wazi kwa mapana yake...
  5. mpambanaji

    Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

    Nalipongeza kanisa kwa kushiriki katika vita dhidi ya Madawa ya kulevya. Pope majuzi ametutaka tuwe na nia thabiti, na hili lililofanyika ndilo tu litaweza kurekebisha taifa. Wote wenye taarifa hizi muhimu tuziweke wazi kwa mapana yake ili hukumu tuitoe sisi wenyewe dhidi ya wahusika
  6. mpambanaji

    Ajali barabarani Muro yanusurika

    baada ta muda wa saa nzima, ya kuhangaika na kupata tairi la kuazima, Polisi Msamvu waibuka, hakuna safari bila spare tyre. Mbeya walikuwa wapi? Ajali ungekuwa mbaya wangejiteteaje? Baada ya kulipa fine gari laruhusiwa. Nini bora, fine au usalama? Sasa limeruhusiwa
  7. mpambanaji

    Ajali barabarani Muro yanusurika

    Thanks Mromboo
  8. mpambanaji

    Ajali barabarani Muro yanusurika

    Tujadiliane hapa kidogo. Inakuwaje gari liana toka Mbeya kwa safari ndefu ya kilometa zisizopungua 800 bila kuwa hata na tairi la dharura? Gari limeegeshwa Msamvu, yapata saa Moja sasa na hakuna ufumbuzi wowote. Je, utoshelevu wa vifaa vya gari si sehemu ya ukaguzi wa kila siku wa jeshi la...
  9. mpambanaji

    Ajali barabarani Muro yanusurika

    Katika hali ya kumshukuru Mola, tairi ya mbele kushoto bus la Muro toka Mbeya lapasuka tairi Morogoro wakati likiingia stand kuu ya Morogoro. Mwendo mdogo wa 5km/h umepelekea kulinusuru gari hilo katika janga kubwa ambalo lingeweza kutokea Kama mwendo ungekuwa tuliouzoea
  10. mpambanaji

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    This is great! nimeisoma rasimu yote. softcopy ipo Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa ajili yako. Rasimu inaleta mwanga mzuri wa Tanzania tunayoitaka hasa pale ambapo inaonesha nia ya uwajibikaji zaidi wa serikali kwa wananchi na pia lengo la kupata kweli viongozi wa kisiasa kwa ajili ya...
  11. mpambanaji

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Sijaona mantiki ya hi post yako. Hebu lete hoja ya discussion
  12. mpambanaji

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Hume, website ya Wizara ya ardhi ina ramani rasmi ya 2012 inayoonesha Tanzania na mipaka yake jaribu kuangalia na ukishindwa, nadhani kipande hiki ambacho nime exract toka ramani kitakusaidia
  13. mpambanaji

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Nadhani misiba inayofuata, tuchinje nguruwe. Asiyetaka kula aondoke kwani hawalazimishwi
  14. mpambanaji

    Sakata la gesi ya Mtwara: Hatuchezi ngoma za mafisadi?

    Nimesoma hii article Jamie forum
  15. mpambanaji

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Mnapaswa kufahamu kuwa wananchi wana imani na ccm, hayo matokeo ya kura ni kulazimisha watu waelekee huko.
Back
Top Bottom