Recent content by mpamba lioto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maimamu watoa tamko juu ya Imamu aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Police endeleeni kufanya kazi yenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaingia kwenye vita kali

    Cha muhimu ni kumwombea rais wetu Mungu azidi kumlinda na kumuongoza pia tuiombee nchi yetu iwe na amani ya kudumu,kubali au kataa,Rais Magufuli ni zawadi tuliyopewa watanzania na Mungu kuikarabati upya nchi yetu,wajibu wetu ni kumwombea tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Connect dots hapa kuhusu Jaji Mujulizi na Kikwete

    Huyu FaizaFoxy ni mdini mpaka ana kera,anajidai anajua kumbe hajui kitu,bogas mujahedeen
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Kuwa na akiba ya maneno
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Huyu FaizaFoxy anafikiri anajua,kumbe chenga tupu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

    Anayesababisha yote hayo ni makonda mwenyewe,kwa nini asitoke na kuonyesha vyeti vyake mjadala uishe!anapokaa kimya au anavyolia haisaidii kitu umetuhumiwa jibu tuhuma
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huu ni uteuzi mbovu kwangu hii demotion kwake first lady mpaka Mbunge!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huu ni uteuzi mbovu kwangu hii demotion kwake first lady mpaka Mbunge!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    Kama ni magaidi kweli muongezewe adhabu,kama mmesingiziwa Mungu awasaidie awafanyie wepesi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha G.Lema na Mke wake wafikishwa mahakamani leo

    Unaposema wakili msomi una maana Gani? Unamaanisha mawakili wengine siyo wasomi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    Kama mmpo mahabusu kwa kusingiziwa Mungu awasaidie awapatie wepesi kama kweli ninyi ni magaidi awazidishie adhabu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwa kibao cha jeshi hakukiona...

    Hawana kitu,huu ni ujinga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

    Mkuu kweli uliona maono kilombero mtu kala mvua kweli
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Rais yuko sahihi,kama waliuza chakula mipakani imekula kwao ardhi ya kijani maana yake hakuna ukame alafu unasema Kuna njaa!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

    Hata kisu kushika hajui
Back
Top Bottom