Zeroiez
Senior Member
- May 2, 2013
- 181
- 201
Mzee bado utaalamu wako wa kizamani kama mpk leo hii reverse lazima utoe kichwa bado sana bora upumzike tuWewe mtoto umeanza kuendesha gari juzi gari yenyenye unaweka D unasongo mbele R unarudi nyuma
Miaka 30 niko barabarani sijui nini utanidanganya nimeendesha Pulling kwa miaka 9 na sidhani kama ulikuwepo duniani au ulikuwa bado kwenye zipu ya baba yako