Recent content by mpalapata hendeli

  1. mpalapata hendeli

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Poleni sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mpalapata hendeli

    Father Charles Kitime aviasa vyama vya Siasa kupendana

    Waliomzunguka magupuli ndio wanaosababisha haya wanaogopa kumshauri kwani wanaogopa kabla, wanafikiria yeye ni mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mpalapata hendeli

    Morogoro: Mbaroni kwa kufungua akaunti ya Corona Facebook na kupotosha Umma

    Halafu wanaacha kukamata mateja wamsamvu morogoro standpale wanasimama barabara ya kutokea dodoma wanasumbua watu barabarani pale nusu ya watu kugongwa wanaanza kuhangaika fb pulamalaka popoccm type. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mpalapata hendeli

    Morogoro: Mbaroni kwa kufungua akaunti ya Corona Facebook na kupotosha Umma

    Sasa hivi wamejiwenga wateja wamepungua Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mpalapata hendeli

    Morogoro: Mbaroni kwa kufungua akaunti ya Corona Facebook na kupotosha Umma

    Kama anakaribia kusitafu atahukumu atafunga watu wengi ili nyota ziongezeke haraka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mpalapata hendeli

    UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Kweli kuna sura nyingine hazina fulaha toka zipo. Kama mwenyekiti wetu ccm Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mpalapata hendeli

    Dar: Halima Mdee, Bulaya, Jesca Kishoa, Meya Jacob,Henry Kilewo na wengine wafikishwa Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kufanya fujo gereza la Segerea

    Usikute wanapanga fine kwani mwenyekiti wetu anashida sana na hela ccm hoyee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mpalapata hendeli

    Marekani na China zatupiana lawama kuhusu janga la Corona

    Utakuta aliyetengeneza naye amekufa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mpalapata hendeli

    Dar: Barabara ya Jangwani yafungwa kutokana na mvua zinazoendelea

    Hata polepole aliwafananisha na corona lakini mifisi iliyosimamia mambo yote inajificha kwa chadema sijui chadema ndio inapewa kazi za kujenga madaraja sijui. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mpalapata hendeli

    Hofu ya COVID-19: ATCL yasitisha safari za ndege China. Serikali yazuia wageni kutoka nchi mbalimbali kushiriki ktk Wiki ya Maji

    Kwani ATCL imewahi hata kusafili mara moja keenda huko!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mpalapata hendeli

    Hofu ya COVID-19: ATCL yasitisha safari za ndege China. Serikali yazuia wageni kutoka nchi mbalimbali kushiriki ktk Wiki ya Maji

    Waliwahi kusema wanaanza kwenda na Burazili India Engirand lakini zipo tu Eapot wanaanika usiku na mchana cheki kama ile napauka tu. Halafu tumeagiza nyingine na tumelipa keshi kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mpalapata hendeli

    GE2020 TLP yatangaza kuungana na CCM. Yamteua Rais Magufuli kuwa mgombea Urais Oktoba 2020

    Ata hivyo mbatia ameongezeka na chama chake wanasaidiana na mrema kujiegesha kwa sisiemu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mpalapata hendeli

    Kupambana na Rushwa na Haki ya Kupata Habari: Muswada wa Sheria ya Haki ya Kupata Habari, 2007

    Ktk wote walounga juhudi Abdul ntulia , patrobas katambi, waziri wa tamisemi walimepewa rushwa ya pesa na wengine vyeo ila kwa sababu ya anayetoa rushwa ndio mla rushwa tunafunika kikombe ili kisitumike kunywea pombe 2020 kwani ni haramu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom