Recent content by MP ngasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Hahaaaaaa kwanza nimecheka sana bro na Pili ulochokifanya n cha kiuanaume mwanaume lazma uwe na mu stand huyo Shem ka kwel alikuwa anaomba angeomba Hyo hali ya ugomvi isitokee lkn inaonekana huko Church walikuwa wapiga dili tu Swla la kurudiana nae siwez kukushaur ww hapo amua vp anakufaa au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

    Hahaaaaaaaaaaaa huyo mjamaa ukimpa shoka na kigogo chenye ukubwa wa mkono wake hapasui haki ya nani. Hivyo n Vyakula Vya Ku maintain body na sio kuupa mwili nguvu Xx kwa mtu ka mm Mzee wa kazi za mitulinga unanilisha kabeji na tango half nikapakue mifuko mia ya cement Kwe semi trela...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

    Kwel kabisa Mkuu hakuna haja kwa nchi yenye wananchi maskin kama hii lakin pia inatakiwa tupate viongoz wenye uchungu na ugumu wa maisha ya watanzania na cio uchu wa Mali tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Kwa kosa la kuitukana hutokaa uiache fanya yafuatayo 1.epuka kupita sehemu zinazouza vilevi 2.jitahidi kuwakwepa marafiki walevi 3.tafuta shughuli ya kuku keep busy all the tym
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Ndo wanasemaga #vitu vngne havitakagi ujuaji....!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli anamtumia Makonda kulipiza kisasi anakosea sana

    Kuna jamaa anaota eti hizi ziwe ndoto tu sasa cjui ataamka lini ili aone mambo yalivyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli anamtumia Makonda kulipiza kisasi anakosea sana

    Unachokiwaza Mzee n kama ndoto za mchana [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Back
Top Bottom