Recent content by moyomzuri

  1. M

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

    sina hakika sana lkn ipo hiv: 1.Tengeneza mchoro wa chupa unayotaka wewe. hii rahisi sana 2.Peleka kwnye kiwanda kinachoweza kukuchongea mold au umbo la hiyo chupa. Hii sidhan kama TZ tunaweza ila china. 3.Ukipata mold nadhan viwanda vyetu hapa bongo wanaweza kutumia hiyo mold kukutengenezea...
  2. M

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Huu uzi hautakiwi kupoa Forrest Gump endelea kutupia moja moja ili uzi uwe live mara kwa mara.
  3. M

    Baada ya DR Congo kuingia EAC, sasa changamkieni fursa kama ifuatavyo

    Nimedevelop interest ya either kuja huko drc au South Sudan.
  4. M

    Naomba ushauri kuhusu ujenzi wa fensi/uzio wa tofali

    Kama ni ukuta tu(solid wall) bila louvres au magril tegemea kutumia tofali 3,500 hii ni kwa ukuta wa mita 3 juu kutoka usawa wa ardhi. Yani msingi/kiuno 0.5m na ukuta wenyewe ni 2.5m Chini hapo ni moja ya kazi zangu mt meru hospital ni ukuta wenye urefu wa mita 360 hivi. Tembelea Instagram...
  5. M

    Naomba ushauri kuhusu ujenzi wa fensi/uzio wa tofali

    Ili upate idadi ya tofali lazima ujue mzingo(circumference) ukitumia eneo kama hiyo 400sqm inaweza kua ni 20X20=400sqm mzingo itakua ni (20+20)x2=80m au 25X16=400sqm na mzingo (25+16)x2=82m au 40x10=400sqm na mzingo ni (40+10)x2=100m nk. So vipimo vyote hapo juu vitakupa majibu tofauti Weka...
  6. M

    Nusu fainali na fainali ya draft

    Lete kuku nikufundishe level za kina mangwelele!!!
  7. M

    RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

    Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel ni comedian flan hiv anapenda utani, mchangamfu sana lkn yote Tisa jamaa anaupendo sana. Mara ya kwanza kukutana nae room nilikua simuelewi kabisa lkn baadae nikagundua jamaa ana amani sana moyoni mwake.
  8. M

    Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

    Tumeruhusu hisia zitutawale kuliko uhalisia wenyewe.
  9. M

    Wachezaji wa Simba wanatetema mazoezini - Masau bwire

    Kuna mwenzako kafanywa vibaya kwenye zawadi za Oscar kwa utani kama wako. Eti Yanga deshi deshi Simba!!! Weeee acha hizo brooo!
Back
Top Bottom