Naomba kueleza kwa undani, mimi tokea ni mschana nilikua na hali ya kutopata hedhi kwa wakati, yani nilikua naweza kukaa hata miezi 5,6,7 bila kuingia hedhi....na sikua nikiumwa tumbo wala chochote kile, sema kama binti hali hii ilikua inanitesa sana....niliwahi kwenda hospital kuonana na dr...
Hello, habari za muda huu! Wapendwa, naombeni ushauri kutoka kwa yeyote aliye na uzoefu na hali kama yangu na jinsi alivyofanikiwa kuondokana nayo. Mimi ninasumbuliwa sana na tatizo la kupata hedhi endelevu; naweza nikableed hata miezi mitatu mfululizo. Kwakweli, napitia changamoto kubwa na bado...
Habari zenu WanaJF:
Mwenzenu nimekuja naomba mnisaidie kitu hapa yaan mwaka Juzi mwezi WA Saba nilianza kusumbuliwa na tatizo la macho kuuma tena nikiwa usingizini nikawa na hangaika kama naumia Ile nastuka usingizi nakuta macho yanauma Sanaa aisee hayo maumivu hayaelezeki, kulipokucha nikaenda...
Asante Sana, sasa nilivyoona malipo nikajua ndo nimeshindwa ,na nilivyo binyeza hapo nikapewa 364 sasa nikataka kueleweshwa...kama nimekosea sehemu nijue
Wakuu naamini humu kuna wafugaji wenzangu jamani. Mimi ndio najifunza kufuga.
Nina kuku wangu analali, ana siku 14, sasa basi leo wakati naangalia mayai kama yatakua na vifaranga ndani, dah kwa bahati mbaya yai moja nikajikuta nimeligonga na simu kwahiyo limeingia ufa.
Swali ni kwamba niliache...
Jamani jamani, za kihindi mkuje huku...Kuch Kuch hii ni ya kitambo Sana nakumbuka enzi izo TV chache yaan mkuwa na TV nyie ndo matajiri, sijui huyo ndo ya Kwanza kuangalia Ile imeisha Tu watu wote wamejaa machozi...pia Nigeria, Rams noa: promise, which, yna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.