Click kwenye join now> ingiza no ya simu> weka password> verify mobile no> uta click kwenye SMS OTP utafanya swali watakalo leta ili wahahiki kama sio robot> na utaingiza hiyo OTP watakayo kutumia kweny message
Inawezekana ikawa shida ya mtandao maaana kuna siku message ya kutoa hela ila ilikuwa hela za kwenye simu ilionesha nimetoa hela na message zikaja mbili na zinafanana kila kitu.
Ila aende benki yeyote iliyo karibu yake kwa maelezo zaidi na achukue bank statement inaonesha transaction zote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.