Msaada: WhatsApp haisomi majina

jangos

Member
Dec 20, 2023
26
29
Za muda huu wanajamvi,

Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
 
Majina huwa una save wapi kwenye Device, Email au Simcard?
 
Za muda huu wanajamvi,

Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
Kama unatumia GB Whatsapp. Enda kwenye Gb setting>Home screen>forward setting.. Turn off izo options zote tatu.
 
Back
Top Bottom