This is my wife.
1 nikiwa na hali ngumu na ninatumia godoro na sturi za kukalia za mtu kwa makubaliano ya kumlipa bila mke kujua, ila siku moja baada ya malipo kuchelewa akaja akaniwashia moto nikiwa na wife mda wa jion ugali ukisongwa (dah aibu) nikamuomba kwa kubembeleza anipe siku 15 nitampa...
Wanajamvi poleni na harakati za hapa na pale.
Jamani nakumbuka hili tukio mpaka saivi ilikuwa 2020 ndo nimetoka kambi-jkt nipo zangu nyumbani pale bomangombe nikamuona Dada kama 23 years mambo yakawa fleshi nikampa taarifa ilikuwa jtano kuwa nitafika mjda wa chai.
Basi Siku ilipofika nikaazima...
sitasahau siku moja nipo mafunzo (jeshi) kosa dogo nikapewa mti uliokita mizizi kila kona niugeuze uwe kuni alafu vipande hivyo vya kuni nivipeleke jikoni dah
Salam sana.
Rejea kichwa tajwa juu.
Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada tafadhari fanya kitu (mimi ni ke 28 years)
Be blessed.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.