Recent content by Movit Tz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha:KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMAN KINANA AWAASA VIONGOZI WA CCM KUACHA KUITWA WAHESHIMIWA

    Please over please Kinana, Waachie Wasaai wa Loliondo Ardhi yao, Kama ni twiga wahamishe ila wamaai wabaki na ardhi yako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Loliondo lamvuruga Kikwete

    Wabongo wanasumbulia na njaa na uongozi wa kilaghai, punguwani, Ardhi ya Loliondo imilikiwa kihalali na wananchi, nahisi Waziri Kagasheki ana usingizi au anaumwa malaria.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Hakuna jipya wote wale wale tu, they after their parties politics. The beautiful one are not yet born in Tanzania.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wanena juu ya sakata la Loliondo dhidi ya serikali na taswira ya wafugaji kote nchini

    TAMKO LA WANAFUNZI WA JAMII ZA KIFUGAJI WASOMAO KATIKA VYUO VIKUU VYA MKOA WA IRINGA JUU YA SAKATA LA LOLIONDO DHIDI YA SERIKALI NA TASWIRA YA WAFUGAJI KOTE NCHINI Taarifa kwa vyombo vya Habari, 11/04/2013. MGOGORO WA ARDHI LOLIONDO Mnamo tarehe 26/3/2013, Waziri wa Mali Asili na...
  5. M

  6. M

    JamiiForums Tanzania Sekretariati ya CCM ziarani Sumbawanga: Nape aongoza Ujumbe

    Kapoteza dira na mtazamo wa kiakinifu, CCM wote wezi, wanabadilishana tu uzoevu wa kuiba and not other way around.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lema na Lissu waushambulia Mji wa Moshi

    Watakopwa kila kitu na CCM lakini si akili! hongereni Activities!
  8. M

    JamiiForums Tanzania KKKT na babu Loliondo wanang'ang'aniana mapato ya tiba

    No comment!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Movit Tz is coming to Interllectual purely Hybrid social network!

    Hodi! hodi! hodi mpaka ndani, Wenyeji mpoooooooo! Hi my learned friends, I'm very glad to join the forum, what i request from you is constructive ideas toward our country development and entire African countries! Take five!
Back
Top Bottom