Huu ni ubunifu katika mkakati wa kuondokana na uhalifu! Toa msamaha kwa mhalifu. Kutatua tatizo la ubakaji, toa msamaha kwa wabakaji; kadhalika, kutokomeza rushwa na wizi wa mali ya umma, toa msamaha kwa wahusika nk nk. Haijakaa sawa
Imeshatokea mara nyingi katika nchi kadhaa kinga kama hizi kuondolewa na wanufaika kushtakiwa baada ya kutoka madarakani. Hizi kinga haziwahakikishii usalama wa kudumu wakingiwa
Tabia yake ilijionesha mapema tangu akiwa mwenyekiti mwenza/msaidizi, bunge la katiba. Sikumbuki kama wakati mzee Warioba akishambuliwa na kudhalilishwa na Bashite na wahuni wenzake ndiye aliyekuwa anaongoza kikao au ni Sitta. Ila kwa nafasi aliyokuwa nayo ungetarajia walau akemee, hakufanya...
Huyu jamaa nimekuwa nikifuatilia comments zake, nimeamua kumpuuza. Ni caliber ya wale waafrka waliokuwa wakiwarongoshea waafrika wenzao wakakamatwa na kuuzwa utumwani. Faida walokuwa wanapata kwa kuwasaliti wenzao vitu vidogo kama kioo na shanga. Bure kabisa
Kwa wote mnaosali/omba, mkumbuke kuwa kuna mpango wa Mungu (divine plan) na kila jambo/tukio lilishawekwa kwenye mpango huo. Kusali/kuomba jambo hili au lile litokee au lisitokee ni sawa na kumshawishi mungu abadili mpango wake. Dini zinatuchanganya sana wanadamu!
Je, walengwa au waathirika wa tukio la ujambazi wanatakiwa waombwe kuwa mashahidi? Uhaini ni dhidi ya serikali ikiongozwa na Mh Rais, naibu wake na Waziri Mkuu. Iwapo lengo la haini lingetimia, yumkini wakuu hao sio tu wangepoteza nafasi zao bali pia wangeweza kuuawa. Hivyo watatu hao yawapasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.