Recent content by movick

  1. movick

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye nyimbo; 1. Nenda remix by cheggers 2. Nyumbani by chief 3. Haina fagio by mwana fa
  2. movick

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma wa Tanzania juu ya uozo wa chama cha wakuu wa shule (TAHOSSA)

    Title na content haziendani hata kidogo...maelezo yako yako yamejaa majungu na kebehi Sitoshangaa kama utapimwa mkojo
  3. movick

    JamiiForums Tanzania Tuna shida Kubwa sana ya Wataalam wa Magari katika Maeneo haya

    Mkuu naomba namba yako
  4. movick

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST for sale 8.2mil, Ipo Mtwara

    Picha mbona nimeziweka boss
  5. movick

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST for sale 8.2mil, Ipo Mtwara

    Inauzwa ipo katika hali nzuri sana. Haijawahi pata ajali Haijawahi rudiwa rangi. For serious buyer Naweza toa sports ream na kufunga za chuma na bei itapungua hadi u.6mil Njoo inbox fasta
  6. movick

    JamiiForums Tanzania GX 100vvti engine

    Ni Toyota cresta 2000model 1998cc haina tatzo lolote njoo na fundi wako aikague bei ni mil 4.5
  7. movick

    JamiiForums Tanzania GXIOO VVTi

    Inauzwa 4500000 maongezi yapo kidogo
  8. movick

    JamiiForums Tanzania Galaxy note 3

    inahitajika fasta leo hii nichek 0784697790
  9. movick

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Internet yenu haina uhakika,niko newala mtwara leo hii nimejiunga na bundle lakn hadi muda wake unaisha sijatumia hata bytes moja mtandao wenu kimeo na mlivyokuwa wababe hata hamturudishii gharama za usumbufu,mfano kutupa hata bundle ya ziada pale mnaporudi tena hewani hasa kwa upande huu wa...
  10. movick

    JamiiForums Tanzania Hivi shule ya Prof. Anna Tibaijuka maskini gani anaweza kusoma kama alivyodai?

    Tiba ndiye yule jambazi sugu ambalo hadi mwisho wa muvi anakuwa hai na starling,ila cjui kwenye muvi hii kudadeki cjui atapona!
  11. movick

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

    Toa mavi yako hapa nenda kakubaliane na mkeo gheto kwako
  12. movick

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Samsung Galaxy S3

    mzgo bado unao?
  13. movick

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Ndio wako dar,wasiliana na makao makuu kwa namba 0682555777 kuanzia saa 4.30asbh wao watakuelekeza maduka ya service yaliko.
  14. movick

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Pole sana kwa tatizo lako,nami yalinikuta majanga kama hayo gharama ya lcd complete ni tsh 250000 kwa dar tembele mawakala wa samsung
  15. movick

    JamiiForums Tanzania Nimetumia code hizi kujua kama simu ya samsung ni original au fake

    Samsung original lazima ikubali code hizi mbili *#7353# na *#0*# kama inakubali moja tu kati ya hizo.nenda chumbani kwako lia xana,kwani imekula kwako!
Back
Top Bottom