Recent content by Movement

  1. M

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    francis ikayo ni wa longido, arumeru magharibi ni ya kamanda gibson olemeiseyeki!.
  2. M

    Nani kati ya hawa anafaa kuwa meya mpya wa Arusha?

    Meya aliechaguliwa nani!? Huyo ni sa kichina!. Kura lazima itarudiwa. Infact hata ya mbunge mkitaka rudieni mfanya na madiwani wote kwa upya Muone cha moto A town!!.
  3. M

    Lowassa: Itakuwa ni bahati mbaya sana wananchi wakichagua serikali tatu!

    Kwenye suala la ndoa, mke atachukua uraia wa mume wake kama ambavyo ilivyo sasa kwa wanaoa mataifa mengine!. Hapa mi nadhani ni either serekali Moja yenye magavana wawili na Rais moja wa JMT au Serekali Tatu. Tanganyika na Zanzibar ziwe na magavana na sio marais. Zanzibar inaimeza Tanganyika na...
  4. M

    Lowassa: Itakuwa ni bahati mbaya sana wananchi wakichagua serikali tatu!

    Kwenye suala la ndoa, mke atachukua uraia wa mume wake kama ambavyo ilivyo sasa kwa wanaoa mataifa mengine!. Hapa mi nadhani ni either serekali Moja yenye magavana wawili
  5. M

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Actually Kwenye maboresho ya rasimu ya katiba tuta shauri umri wa kupiga kura ushushwe hadi miaka 10 ili tuharakishe safari ya Hawa mafisadi!.
  6. M

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Very crucial ! Tafadhali mpe mtoto majibu ya kweli, usije kumchachua Kwani ndio desturi yenu siku hizi!.
  7. M

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Bora kabisa, uchaguzi urudiwe, hatujaridika na idida ya kura tulizopata!. Ratio ilikuwa iwe 1: 10. Tume harakisha uchaguzi urudiwe na ile kata nyingine ya sombetini tupate mpango mzima.
  8. M

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Baadhi ya wapiga kura wamenyimwa Haki Yao ya kupiga kura kwa sasa namba ya kadi zao hazilingani na Kwenye Daftari la wapiga kura!!. Mkurugenzi wa uchaguzi na timu yake Wame wachakachua!.
  9. M

    ARUSHA;Baada ya maandamano ya Wazee wa ukoo kushindikana,sasa kufanya mkutano STADIUM

    CCM msiwapotoshe Malaigwanani, wanaofamya vurugu ARUSHA tena kwa kuagizwa na wakuu wao ni RC na RPC, kwa hiyonmnapokusudia mnapokusudia kuandamana, dhamira iwe kuwatoa wao na sio vinginevyo, hata Kama watawachinjia ng'ombe kumi, simameni kwenye ukweli. Maandamano yapo kisheria, polisi wanapaswa...
  10. M

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    una maana ya : salamu sana na baada ya salamu mimi sijambo? Ha ha haaaah! utasubiria sana, Kwani uchaguzi wenyewe umeahirishwa kwa jinsi gani? habari ndio hiyo.
  11. M

    Jimboni Hai hali ni tete, mhe. Mbowe haya huyajui?

    Unashindwa kufikiria, wengine tunaona Mbowe kapendelewa kwa jinsi malami yanavyo mwagwa huko hai, tena maeneo mengine lami juu ya lami wakati majimbo mengine nchini ni mashimo mpaka basi!. Au juzi rais alipokuwa huko mpaka akasifiwa ulikuwa hayati!?. Amka!.
  12. M

    TRA demands 3bn/- in taxes from FastJet

    SWALI LANGU NI, KWANINI SASA?. walikuwa wapi kabla ya FAST JET.
Back
Top Bottom