Jimboni Hai hali ni tete, mhe. Mbowe haya huyajui?

Matatizo jimbo lolote ni matokeo ya serikali dhaifu, wabunge au Mbowe anapesa za kumaliza matatizo ya wananchi, ACHA UJINGA...panua wigo wa kufikiri!...iambie serikali itoe huduma kwa jamii, NIE MUIBE FEDHA YA UMMA,TEMBO NA TWIGA, MBOWE ATOE HELA YAKE BINFSI KUHUDUMIA WANANCHI?...una akili ya kuku kabisa wewe...nyambavu wewe
 
Wakuu ninashauri hili daraja liitwe Mbowe bridge

Arumeru magharibi hakupitiki,kwenda olturumet ngaramtoni hakuna hata daraja la mbao wananchi wanazungukia Habari maalum,OLE MEDEYE WA CCM YUPO MIKOCHENI.BARABARA YA MERERANI NI MBAYA LICHA YA TANZANITE KUCHIMBWA...OLE SENDEKA UPO WAPI?
 
me hapo ndiyo siasa huwa inanichosha kabisa hata ufanye vpi wanafiki hawakosi yani ni tatizo watu wanapenda watu na vyama na si maendeleo yani ili mradi ni wa chama chake tu hata kama hana mipango ya mana yeye anashabikia tu. yani watanzania tunahitaji idadi kubwa sana ya watu wasiokuwa wanachama wa vyama vya siasa ili tuweze kuwa na uwezo wa kuchagua watu wanaotufaa na si watu tunaowashabikia na vyama tunavyovipenda ahsanteni sana.

Sasa huyu ndo kapost nini?
 
huyu jamaa haijui Hai wala hamjui Mbowe. Halishatoa vifaa na mashine za oparetion katika hospitali ya wilaya kindi hiko hakuwa mbunge alikuwepo fuya wenu wa magamba
 
Matatizo jimbo lolote ni matokeo ya serikali dhaifu, wabunge au Mbowe anapesa za kumaliza matatizo ya wananchi, ACHA UJINGA...panua wigo wa kufikiri!...iambie serikali itoe huduma kwa jamii, NIE MUIBE FEDHA YA UMMA,TEMBO NA TWIGA, MBOWE ATOE HELA YAKE BINFSI KUHUDUMIA WANANCHI?...una akili ya kuku kabisa wewe...nyambavu wewe

Jina lako linanipa reflection ya uwezo wako wa kufikiri.

Sijasema atoe hela mfukoni kwake, nimesema angalau aitaje taje Hai akiwa bungeni.
 
huyu jamaa haijui Hai wala hamjui Mbowe. Halishatoa vifaa na mashine za oparetion katika hospitali ya wilaya kindi hiko hakuwa mbunge alikuwepo fuya wenu wa magamba

Wewe ndio humjui Mbowe, hivyo vifaa aliomba nje ya nchi na akapewa kama msaada ila yeye ana tangaza kuwa amevinunua yeye, Mbowe msanii.
 
we unajua viunga vya hai kwel? ulishafika huko ukajionee? hako kadaraja ni shortcut..... cio barabara kuu, yani ni kama kwenda kimara kupitia changanyikeni!! hat iv linaitaj matengenezo.. na pesa watatoa magamba, wakusanya kod.. alaf wewe unasiasa za akina vicky kwel wewe, sasa akitaja taja hai ndo iweje? mbona mtwara pametajwa tajwa sana imekuwaje? vp chalinze? vip nzega? urambo? U must b out of ur sens young bouy!!
 
Hilo daraja ni Daraja la Kiungi maarufu kama DARAJA LA MNEPO.

Tatizo la daraja hilo ni la tangu tupate uhuru.

Mara kwa mara Diwani wa CCM wa kata hiyo ya kiungi amekuwa akihujumu ujenzi wa daraja hilo.

Kiwanda cha TPC walishajitolea kulijenga ila hela walizotoa kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo zikaliwa na Diwani huyo wa CCM na washirika wake.

Kanisa Katoliki ililo karibu na eneo hilo kwa ufadhili wa wazungu walitaka kulijenga daraja hilo ila Diwani huyo akaleta udini na kukwamisha taratibu za ujenzi huo.

Kosa la watu wa Kiungi ni kuendelea kuikumbatia CCM na kuchelewesha maendeleo ktk eneo lao.

Natamani Daraja hilo lingekuwa ndani ya Manispaa ya Moshi lingekuwa limeshatengenezwa.

Katika kikao cha bunge kilichofanyika
June 13, 2011, katika kuonesha kwamba Mh Mbowe analipigania daraja hilo alimuuliza Naibu waziri kama ifuatavyo;

Nadhani mpaka hapo umeelewa kwamba tatizo ni CCM na Serikali yake kwa dhati kabisa hawana mpango madhubuti wa kutaka kutatua tatizo la daraja hilo.

Asante kwa ufafanuzi huu. Kumbe tatizo ni diwani wa magamba na sio mbunge, period!
 
Pamoja na wingi wa mito na vijito milimani karibu kote ktk slope ya mlima kilimanjaro....Bado kudanganya watu kuhusu Mbowe utakuwa unachemka....famili ay akina mbowe na madaraja ni kama mchina na "Kung'fu".Miaka ya 60+ Mzee Aikaeli Mbowe mwenyewe aliingia ktk vinyang`anyiro kadhaa kwa ajili ya ubunge na ahadi zake zikiw akujenga madaraja....Laichukia sana si tuu kukosa madaraja,ila madaraja ya hovyo...tena litumia kinyumbani aliyaiita "fitara"....

Umbea mwingine mnopenda upigia upatu...km mlivyorithi kwa wazee wenu waoga wa maisha,kazi kusema vibaya watu kw amakabila, baba zetu walifikia mahalai kuwapisha makabila mengine yaende kwa umbea kama wako.

kuna mazingira challenging kiasi cha kufany ahat ulaya waweke madaraja ya kuning`inia na kwingine waweke vigari vya kuning`inia ktk wire.
 
Unashindwa kufikiria, wengine tunaona Mbowe kapendelewa kwa jinsi malami yanavyo mwagwa huko hai, tena maeneo mengine lami juu ya lami wakati majimbo mengine nchini ni mashimo mpaka basi!. Au juzi rais alipokuwa huko mpaka akasifiwa ulikuwa hayati!?. Amka!.
 
Hilo daraja ni Daraja la Kiungi maarufu kama DARAJA LA MNEPO.

Tatizo la daraja hilo ni la tangu tupate uhuru.

Mara kwa mara
DIWANI wa CCM wa Kata ya Machame Weruweru, Adris Mandrai amekuwa akihujumu ujenzi wa daraja hilo.

Awali, aliwataka wananchi wa kata hiyo kuhakikisha wanaunga jitihada za Serikali ya wilaya kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Mnepo, kila mwananchi alitakiwa kuchangia Sh 5,000, ambapo halmashauri hiyo imeidhinisha Sh milioni 20 kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo.

Alisema pamoja na jitihada za Serikali, pia aliyekuwa Mbunge wa Hai, Fuya Kimbita, aliwahi kuchangia Sh milioni tano kupitia fedha za Mfuko wa Jimbo.

Kiwanda cha TPC walishajitolea kulijenga ila hela walizotoa kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo zikaliwa na Diwani huyo wa CCM na washirika wake.

Kanisa Katoliki ililo karibu na eneo hilo kwa ufadhili wa wazungu walitaka kulijenga daraja hilo ila Diwani huyo akaleta udini na kukwamisha taratibu za ujenzi huo.

Kosa la watu wa Kiyungi ni kuendelea kuikumbatia CCM na kuchelewesha maendeleo ktk eneo lao.

Natamani Daraja hilo lingekuwa ndani ya Manispaa ya Moshi lingekuwa limeshatengenezwa.

Katika kikao cha bunge kilichofanyika
June 13, 2011, katika kuonesha kwamba Mh Mbowe analipigania daraja hilo alimuuliza Naibu waziri kama ifuatavyo;

Nadhani mpaka hapo umeelewa kwamba tatizo ni CCM na Serikali yake kwa dhati kabisa hawana mpango madhubuti wa kutaka kutatua tatizo la daraja hilo.

MR. ABLE

Umeweka maelezo mazuri. Umeonesha ufahamu wa kile unachokizungumzia. Akiendelea kupotosha kama ilivyo ada yake huyu jamaa mwanzisha threa, tutaongezea facts zingine hapa. Kwa sasa nakulipa usingizi wangu kwa namna ulivyoweka sawa.

Asante.
 
Hilo daraja ni Daraja la Kiungi maarufu kama DARAJA LA MNEPO.

Tatizo la daraja hilo ni la tangu tupate uhuru.

Mara kwa mara
DIWANI wa CCM wa Kata ya Machame Weruweru, Adris Mandrai amekuwa akihujumu ujenzi wa daraja hilo.

Awali, aliwataka wananchi wa kata hiyo kuhakikisha wanaunga jitihada za Serikali ya wilaya kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Mnepo, kila mwananchi alitakiwa kuchangia Sh 5,000, ambapo halmashauri hiyo imeidhinisha Sh milioni 20 kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo.

Alisema pamoja na jitihada za Serikali, pia aliyekuwa Mbunge wa Hai, Fuya Kimbita, aliwahi kuchangia Sh milioni tano kupitia fedha za Mfuko wa Jimbo.

Kiwanda cha TPC walishajitolea kulijenga ila hela walizotoa kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo zikaliwa na Diwani huyo wa CCM na washirika wake.

Kanisa Katoliki ililo karibu na eneo hilo kwa ufadhili wa wazungu walitaka kulijenga daraja hilo ila Diwani huyo akaleta udini na kukwamisha taratibu za ujenzi huo.

Kosa la watu wa Kiyungi ni kuendelea kuikumbatia CCM na kuchelewesha maendeleo ktk eneo lao.

Natamani Daraja hilo lingekuwa ndani ya Manispaa ya Moshi lingekuwa limeshatengenezwa.

Katika kikao cha bunge kilichofanyika
June 13, 2011, katika kuonesha kwamba Mh Mbowe analipigania daraja hilo alimuuliza Naibu waziri kama ifuatavyo;

Nadhani mpaka hapo umeelewa kwamba tatizo ni CCM na Serikali yake kwa dhati kabisa hawana mpango madhubuti wa kutaka kutatua tatizo la daraja hilo.
Au wanataka Mbowe akalibomoe?
 
Jina lako linanipa reflection ya uwezo wako wa kufikiri.

Sijasema atoe hela mfukoni kwake, nimesema angalau aitaje taje Hai akiwa bungeni.
Hiyo Hai haijawahi kua chini ya CCM?
Huyo wa CCM mbona hakujenga hilo daraja?
Kwanza tutaamini vipi kama hapo ni Hai??
Ulishamsikia Mohammed Dewji akiitaja taja Singida? ?
 
Mhe Mbowe, mbali na uenyekiti wa CHADEMA taifa ila wewe ni mbunge wa Hai, jitihada zako kubwa za kukitumikia chama chako kila mtanzania ana ziona, ila hoja ya msingi ni kwamba, umesahau kuwa wewe ni mbunge?

Mhe Mbowe wananchi wa Hai wana taabika mno chini ya uongozi wako kama mbunge wao, kama mambo yamekushinda ni busara ukae pembeni kuliko kuendelea kung'ang'ania nafasi usiyo iweza.

Tangu umerudi tena bungeni mwaka 2010 ni mara chache mno umekuwa ukihimiza serikali kukumbuka jimbo lako katika mgao wa bajeti, mara nyingi wewe umekuwa ukihimiza wabunge wako waombe miongozo isiyo na tija ili ukitangaze chama chako cha CHADEMA kupitia bunge.

Mhe Mbowe angalau basi uwe una taja taja hata jimbo lako la Hai, wananchi wana kero nyingi sana ambazo wewe kama mbunge ni jukumu lako kuhakikisha zina tatuliwa na serikali, usipo wasemea wewe atawasemea nani?

Wana-JF, jioneeni wenyewe jinsi wananchi wa jimbo la Hai wanavyo pata hadha chini ya uongozi wa bwana Mbowe!

View attachment 97319

Mkubwa wewe unatokea Jimbo gani?
Kwa Taarifa yako among the successful province in Tanzania basi Hai ni miongoni...
 
Mimi sio Chadema ila nmetokea Hai , ila mbowe ni shujaa ww kafanya mengi mno huku hai nan asie jua ???
 
Kwanza miongoni mwa majimbo yanayo wakilishwa vizuri na yamepata mafanikio ni hai. Au unafanya research ww uone kama ccm inakubalika ??
 
Upo tayari kupindisha ukweli ili tu umtetee bwana Mbowe?

Kweli CHADEMA ni zaidi ya miujiza, watanzania mmekuwaje?

Mimi ni mwenyeji wa hai ....madaraja ya mamna hiyo ni mengi mno na kwa taarifa yako njia inayoelekea pande mbili za daraja ni za miguu, madaraja ya waenda kwa miguu Tanzania ni mangapi? .... tabia iliyojijenga ndani ya bunge hili ya kuzuia serikali kumpeleleza maendeleo kaskazini unaijua.... Sasa unataka Mh. Mbowe ajikoki aombe hela za ujenzi wa madaraja ya waenda kwa miguu? Si wanaCCM wote mtazonea.....Hai tuna uwezo wa kuyajenga hayo madaraja ila kwa sasa yapo yaliyo na kipaumbele zaidi ya madaraja hayo
 
Acha ushabiki usio na tija wewe,wananchi wanateseka walitumaini Mbowe atatatua tatizo la daraja lile kwakuwa babayake alikuwa anawaahidi wananchi kabla,sasa wanapoona muda unaisha ahadi ya Mbowe na baba yake haijatekelezwa mnakuja wapambe kutetea,kama ameshindwa kujenga daraja waacheni wafanye maamuzi sahihi,Mbowe aache hadaaa hata kwa watu waliomuamini
 
Back
Top Bottom