Recent content by Mousty

  1. Mousty

    JamiiForums Tanzania Mambosasa: Dk. Shika ni wa kuonea huruma, hatutaendelea na kesi dhidi yake

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inapendeza
  2. Mousty

    JamiiForums Tanzania Video: Inasemekana Wimbo wa Rubby uitwao Na Yule ndo umekubalika sana Italy

    Nakubaliana Na Wewe Na Hilo Ni Tatizo Kubwa Katika Mziki Wa Kibongo Na Ndio Maana Kila Siku Wasanii Wetu Ni Wawili Tuu( ○○○● ) Tuwaige Wa Nigeria Wenzetu Wana Wasanii Zaidi Ya 10 Ambao Wanajulikana Kimataifa Sisi Tumekalia Ushabiki Mbuzi
  3. Mousty

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mdomo wa juu kucheza kwa anaejua tatzo hili

    Utafurahi/Kucheka Sana Siku Za Karibu
  4. Mousty

    JamiiForums Tanzania Nani anayetakiwa kuanza kumtamkia mwenzake uhitaji wa kufunga ndoa?

    Sawa Sawa Kabisa [emoji122] [emoji122]
  5. Mousty

    JamiiForums Tanzania Nani anayetakiwa kuanza kumtamkia mwenzake uhitaji wa kufunga ndoa?

    Bila Shaka Nadhani Kakusoma
  6. Mousty

    JamiiForums Tanzania Nani anayetakiwa kuanza kumtamkia mwenzake uhitaji wa kufunga ndoa?

    Nimekuelewa [emoji122]
  7. Mousty

    JamiiForums Tanzania Nani anayetakiwa kuanza kumtamkia mwenzake uhitaji wa kufunga ndoa?

    Nimekuwa Mkubwa Ndio Maana Nawaza Hayo [emoji60]
  8. Mousty

    JamiiForums Tanzania Nani anayetakiwa kuanza kumtamkia mwenzake uhitaji wa kufunga ndoa?

    Wana JF wenzangu, Naomba mchango wa mawazo yenu juu ya swala hili. Kati ya mwanamke na mwanamume walio katika mahusiano ya kimapenzi ni nani anapaswa kutamka kwa mwenzie uhitaji wa kufunga ndoa?
  9. Mousty

    JamiiForums Tanzania Dr. Louis Shika ni fursa tumtumie

    Sizan Kama Alifanya Hayo Kwa Jicho La Kukamata Fursa Twenzetu Imetokea Tu Kutokana Na WatanzaniaTunapenda Sana Kushabikia Jambo Lisilo na Faida Kwa Jamii
  10. Mousty

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

  11. Mousty

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Rais Robert Mugabe ajiuzulu Urais kabla ya Bunge kumuwajibisha

    Ni Vyema Kufanya Ivo Kuliko Kuisababishia Nchi Matatizo Kwa Ajili Ya Tamaa Ya Madaraka
Back
Top Bottom