Recent content by mourad77

  1. M

    Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

    Tusker kitu Gani bwana yale hayakuwa mashindano lile lilikuwa Bonanza tu umecheza mechi mbili na Ubingwa Ha Ha Ha Asante kotoko Kikosi cha Tatu! Cha kina Kenneth asamoah chenyewe kilikuwa cha pili
  2. M

    Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

    Bora Tuwe Mapimbi kuliko kwenda kuukalia U B O Wa LIBORO
  3. M

    RAGE atoa tamko zito

    Tokea Lini CHOKO Likakosa Nuksi Jitu limeshikishwa vikuta na Magram akaja Kibadeni nae kaliinamisha vya kutosha hebu muulizeni na Umri wote alionao ana mke/mchumba au Mpenzi au hata mtoto wa KUSINGIZIWA Hilo ndo NUKSI Kubwa
  4. M

    Naombeni tafsiri ya Kiswahili ya neno 'Stationery'

    SARIJALA ndo jibu sahihi
  5. M

    Mitambo ya analog kuwashwa tena

    Humu JF Ni mahali Pa Watu wenye Hekima sio unajijibia majibu tu kama mlevi huna la kuchangia funga tigo yako ya usoni
  6. M

    RAGE atoa tamko zito

    walizwe mara ngapi? Kisha waliza siku nyingi ni hivi goefrey nyange kaburu anadai yeye ndie alimsajili okwi mara ya kwanza pamoja na owino hivyo anatakiwa arudishiwe mkwanja wake pamoja na 35% wawalipe kcc kama makubaliano ya awali pili zacharia hans pope yeye anataka mkwanja wake kwa kuwa yeye...
  7. M

    Kisimbuzi siyo King'amuzi

    Mbona Antena au Aerial hawakuitafutia jina fasihi katika misamiati ya kiswahili au vitu vingine kama Coffin, Conteiner na Mobile
  8. M

    Simba FC vs Mtibwa sugar FC leo tar 24-02-2013,uwanja wa taifa!!!

    ongeza Amarte na James Kisaka
  9. M

    Simba FC vs Mtibwa sugar FC leo tar 24-02-2013,uwanja wa taifa!!!

    Rage uza uza Bado chapombe na ngassa Wote waliokaa pale watafunaji kuanzia Kaburu mzee wa Mlungula Hans Pope mzee wa uhaini mpaka Magori mzee wa Ufisadi uje kwa Rage mzee wa Mbuyu twite hawana kitu uongo kwao ndio washaona Deal namuuliza Msemaji wa Klabu Kamwaga vipi SSCTV Na kipindi chako cha...
  10. M

    Simba FC vs Mtibwa sugar FC leo tar 24-02-2013,uwanja wa taifa!!!

    Jina lake ni ma-ADEN maha- RAGE JITU Jizi Liongo Libeba Silaha .1 alikwiba hela za Ushiriki wa YANGA Ligi ya mabingwa Afrika mwaka 1998 .2 alikwiba hela za FAT Sasa TFF Akasukumwa ndani Mwaka mzima. .3 alikwiba pesa za Rambirambi ya Marehemu Patric mutesa Mafisango .4 amemuuza Okwi amecheza...
  11. M

    Simba FC vs Mtibwa sugar FC leo tar 24-02-2013,uwanja wa taifa!!!

    LIBOLO la Mtibwa Limeshagonga TIGO Ya Mnyama mara ya Kwanza safari Hii linamlainishia Njia ORIGINAL LIBOLO Wa Angola punguza MARINDA HAYO Ngassa Leo Hayupo Mudde kaenda Kuzika Sunzu Kawa Mzito kaa Jabali la BISMARK Hivi hawa wana mapro wangapi? Huyo Kipa Kasajiliwa kwa pesa ya Okwi mpaka leo...
  12. M

    Azam FC vs Young African FC leo taifa tar23-02-2013!!!!!

    Wakae Kimya hao Wasubiri wakapanue tena kwa LIBOLO Huko Angola . . . Kesho kwanza lazima wacheze KIBOLO Kwa Mtibwa
  13. M

    Azam FC vs Young African FC leo taifa tar23-02-2013!!!!!

    Poa Kumbe Mwalimu ana tupata moja kwa moja kanisikia Bado Diego Toa Tupa nje wameshakosa sana tosha Ingiza Spiderman Msuva anakimbia Sana toa tupa nje ingiza Nourdin
  14. M

    Azam FC vs Young African FC leo taifa tar23-02-2013!!!!!

    Hawa TFF Matak. Sana wanatukosesha Uhondo Bure Leo sisi tulio nje ya Nchi hatuna njia nyingine zaidi ya iNternet kupata matokeo mida kama hii Ningekuwa pembeni ya TV Nawatazama wanalambalamba wanavyo ulamba MZIGO
  15. M

    Azam FC vs Young African FC leo taifa tar23-02-2013!!!!!

    We Mwalimu Mtoe huyo Tegete Msen.. Sana unakosa magoli ya wazi mara ngapi? Watu wanatoa kina Neymar, Torres,Suarez Sembuse huyo Bishoo? Ingiza mitambo ya Magoli Didier'' Kavu" kavumbagu na Syde 'Spiderman'Bahanuzi
Back
Top Bottom