Recent content by moudylimo

  1. moudylimo

    Apk ya Dream League soccer 2017

    Msaada chief... Nimedownload apk pamoja na file la obb.. Ila nkifanya installation na nakaiweke obb file.. Bado linaomba kudown load tena data.... Fanya kunielekeza niweke wap obb file liwe detected na game
  2. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Aya nakuelewesha vita. Vita ni.......................
  3. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Una uhakika na unayonena....
  4. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim...
  5. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim...
  6. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Haujaelewa vita we...... Hao n. K ndo hawana izo technics .na kwann unasema vita haitofika marekani?
  7. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Jamaa unaonekana ni mtu wa kuangalia movies sana......... Hydrogen bomb so ni marekani pekee wanalo eti
  8. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Nakubaliana na nyie lakini tujue wingi silaha ndio ni njia nzuri ya kuwin vita ila kama unastrategy nzuri za kutumia silaha izo kwa faida.... Marekani alikua na silaha nyingi na nzito ila hakuweza nchi kama Somalia na vetinam..... So tusubir tuone na Ana mbinu bora za kivita.
  9. moudylimo

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Znakuja ROM 4 na nimeshajaribu mbili ila zote zmegoma...natanguliza shukran
  10. moudylimo

    Natafuta Kompyuta Mpakato (Laptop)

    Asante kiongozi....ntarejesha majibu
  11. moudylimo

    Natural Attractions in Kenya and Tanzania

    Magufuli and bashite are found in tz too
  12. moudylimo

    Natafuta Kompyuta Mpakato (Laptop)

    Nimeangalia ila ckufanikiwa nlichoona ni Imei number tu
Back
Top Bottom