Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa...
Kuhusu PhD ya Gwajima hiyo alipewa na hicho chuo kutokana na kazi yake anayofanya kwenye jamii; walifanya assessment wakaona ni mtu kafanya kazi kubwa kwenye jamii, kaandika vitabu 32 na vimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 20 duniani na vinasomwa nchi tofauti za lugha tofauti na kutumia vyuoni vya...
Askofu, manabii hivi ni vyeo vya Kimungu Kama vyeo vingine vya kiislamu. Naona uwe unajenga hoja zenye mashiko. Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kila mtu yupo huru Ila kutovunja sheria.
Ataitekeleza tu hata Mungu mwenyewe aliwaahidi wana wa Israel nchi ya maziwa na asali lkn ilchukua miaka mingi kutimia
Wanakawe tumeamua kwenda na Gwajima hivyo hivyo
Mshana Jr,
Waache wafu wapumzike kwa amani usiwataje taje. Alafu hizo kila kona unazozisemea unazijua wewe na alienyuma yako.
Ujue bhana kila mtu ana pande mbili na pia mtu haukumiwi kwa zamani yake. Hayo mambo ya kumtukana Askofu ni ya zamani na alikuwa anapinga mahakama ya kazi sio kwamba...
mbona mnataabika sana? Hii ni nchi huru fanya unachokitaka, kila anachokisema kiko relevant na muda anaousema wa kukemewa anakemewa, wakuonywa anaonywa, wa kupongezwa anapongezwa. Ni mchungaji asienyamaza anasimamia haki. Mbona alimwambia nabii tito ukweli na akamuombea ila akaamua kurudi...
Heh una attendance list ya kanisani kwake au unahusika na kurekodi takwimu pale? Waumini wakifika wanaripoti kwako au?
Unabisha tu bure nani hamjui mzee wa kuamsha dude? Elimu ya bashite ulipewa wapi wewe kama sio unabisha bure?
He is the course of embarrassment 😂😂 are you happy with your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.