Recent content by moto nsebu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano Wa ACT-Wazalendo, Shinyanga (Tarehe 19 Aprili, 2015 )

    Shinyanga ishafuta ccm...zitto alitegemea nini zaidi ya zomea zomea
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Anatafuta huruma ya watanzania.....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

    Dah, salary slip unadhani wewe ni mjanja sana wanaCDM wasiyaone hayo unayoyasema? Tangu lini uongozi ukapatikana kwa ukabila? Akili ndogo haiwezi ongoza eneo kubwa!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kinana ampongeza Lukuvi, Nape amtaka Nyalandu kuacha kutafuta watu wa kumtetea

    Mwaka huu tutaona mengi sana...weka mbali na Tembo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Ni ngumu sana kuamini kama maaskofu wote hawakufikiria ila Kadinali Pengo pekee ndiye aliyefikria zaidi kuwa tofauti na tamko la Maaskofu. Si kweli kuwa uamuzi wa kupiga kura ni wa watu pekee. Ikumbukwe pia Mwalimu Nyerere alishawahi kuzuia mgombea uraisi jina lake lisipitishwe. Kwa mantiki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yasambaratisha CCM uchaguzi serikali za mitaa Mbezi

    Wana darisalama siku hizi wanapiga kura ccm isahau majimbo ya mkoa wa Dar na Tz kwa ujumla....
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yasambaratisha CCM uchaguzi serikali za mitaa Mbezi

    Dalili ya anguko la ccm mkoa wa Dar...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

    Ubaguzi ni sera iliyoasisiwa na ccm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Halafu baadae wanatasema demokrasia Tanzania inakuwa....uongo mtupu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kupitia akina Shabani Gurumo, Watanzania wanaongeza mori kuiondoa CCM Ikulu

    Wabungenjaa kweli wewe ni zaidi ya kilaza yaani unataka kusema gurumo hana uhusiano na ccm? Unawaza kutumia kichwa au makalio? Unahakika lugemalira katoa pesa nje ya ccm?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kupitia akina Shabani Gurumo, Watanzania wanaongeza mori kuiondoa CCM Ikulu

    Imeonesha ni jinsi gani ikulu kuna watu wana kiburi..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamis Tarehe 5 Februari, 2015

    Inaonesha wazi kuwa Pinda hafai kuwa rais kama anashindwa kujibu swali km hilo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

    Kwani aliyekuambia ambulance inakomea Hospitali ya wilaya pekee ni nani? Inaweza kumkimbiza mgonjwa kwenda KCMC au Arusha akili yako iko kwenye kupinga tu...ifike wakati uwe unapongeza...sawa East African
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Kinana kwa Mwigulu Nchemba ni faida na hasara kwa Chama

    Hata angeruhusiwa impact yake ni ndogo sana...mkutano alifanya kilombero haukuwa na nyomi.....
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Sombetini Arusha washiriki mazishi ya Edward Mgogo

    Mussa Allan acha u zuzu sasa ulitegemea Bananga asiende kuzika? Una akili fupi!
Back
Top Bottom