Recent content by MOTEMANANGAI

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds mbili kila siku bureee na uhakika follow link hii Free 2 Odds Daily Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Free 2 Odds Daily Sent using Jamii Forums mobile app Fuata link iyo kupata odds mbili kila siku buree
  3. M

    Wapi nitapata body to body massage kwa Dar?

    naombeni tofauti ya body to body na full body massage
  4. M

    Biashara ya Mtaji wa Milioni 15

    ndoo shilingi 100 kwa siku ukiuza ndoo 1000 ni laki zidisha siku 30 ni milion 3
  5. M

    Biashara ya Mtaji wa Milioni 15

    tafuta sehemu kijijiini kwenye shida ya maji chimba kisima hlf weka lile dude la kuvuta maji kwa upepo tank zako za maana unakula pesa tu
  6. M

    Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

    instagram mnatumia jina gani naona kule picha ndio zinaonekana vizuri
  7. M

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    huu uzi nimepata kitu maana mi mwenyewe nina IST naipeleka mwanza wiki ijayo
  8. M

    NHC: Nyumba 5,000 za bei nafuu kwa wote! Nyumba yangu, Maisha Yangu!

    Million 70 napata nyumba kali kama 5 ivi hata kama viwanja vyake havijapimwa nachukua cordinates naenda jiji au manespaa kucheki kama viwanja viko sawa nachukua mabanga
  9. M

    NHC: Nyumba 5,000 za bei nafuu kwa wote! Nyumba yangu, Maisha Yangu!

    Million 70 napata nyumba kali kama 5 ivi hata kama viwanja vyake havijapimwa nachukua cordinates naenda jiji au manespaa kucheki kama viwanja viko sawa nachukua mabanga
  10. M

    Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

    Mi huwa nanunua mara nyingi na zinakuja kwa posta kuhusu kodi mwambie anaekuuzia aandike gift hapo haulipi kodi
  11. M

    Mke HIV + anaitajika

    Wakuu bado natafuta nipo serious tafadhali mtu yoyote alie serious anijulishe naomba tuwe wakweli wala tusiogope ivyo ndio ilivyopangwa
  12. M

    Tunapotoa misamaha huwa hatutoi kwa fulani na fulani, linaangaliwa kundi!

    Hapa umenigisa raisi inawezekana kafanya uchunguzi wa kutosha kagundua ni kesi feki maana waliohukumu kesi wapo na waliokuwa wanapeleleza kesi wapo
  13. M

    Mke HIV + anaitajika

    Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mke HIV+ urefu wangu ni cm 165 au futi 5.4 ni mfanyabiashara na sijaanza ARV's sababu CD 4 bado zipo juu nimeupata ivi karibuni. Vigezo ni; 1. Awe maji ya kunde, mwupe au mwarabu 2. Muislam na anaijua dini 3. Miaka 18-28 4. Asiwe ana mtoto sababu na mimi...
Back
Top Bottom